Chatu

Spishi 10:

Chatu
Chatu kaskazi Python sebae
Chatu kaskazi
Python sebae
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Reptilia (Wanyama wenye damu baridi na magamba ngozini)
Oda: Squamata (Mijusi, mijusi-nyungunyungu na nyoka)
Nusuoda: Serpentes (Nyoka)
Oda ya chini: Alethinophidia (Nyoka wasio vipofu)
Familia: Pythonidae (Nyoka walio na mnasaba na chatu)
Jenasi: Python
Daudin, 1803
Ngazi za chini

  • P. anchietae Bocage, 1887
  • P. bivittatus Kuhl, 1820
  • P. breitensteini Steindachner, 1881
  • P. brongersmai Stull, 1938
  • P. curtus Schlegel, 1872
  • P. kyaiktiyo Zug, Gotte & Jacobs, 2011
  • P. molurus (Linnaeus, 1758)
  • P. natalensis Smith, 1840
  • P. regius (Shaw, 1802)
  • P. reticulatus Schneider, 1801
  • P. sebae (Gmelin, 1789)
  • P. timoriensis Peters, 1876

Chatu ni spishi za nyoka katika jenasi Python wa familia Pythonidae. Kwa sababu hawana sumu lazima waue mawindo yao kwa njia nyingine. Kwa hivyo huzongamea mwili wao kuzunguka kidari cha mawindo kisha kubana kwa nguvu ili kuzuia mawindo asipumue mpaka afe halafu hummeza mzima.

Kwa kawaida chatu ni miongoni mwa majoka makubwa ambayo upata mawindo yake kwa kuvizia au kutega katika njia wapitamo mawindo. Kwa kawaida chatu hukamata wanyama wadogo kiasi kama vile panya, sungura, kanga, mbwa, mbuzi na paa. Spishi kubwa kama chatu kaskazini zinaweza kumeza ndama wa wanyama wakubwa kama vile swala, nyumbu, pofu, kondoo na ng'ombe, na hata binadamu na watoto wake lakini kwa nadra tu. Kwa hivyo kiumbe huyu inaweza kuwa hatari kwa maisha ya viumbe hai wengine.

Chatu kulingana na maumbile yao wapo wa aina kuu mbili yaani wembamba na wanene. Chatu wembamba mara nyingi hupatikana hasa katika maeneo ya milimani na chatu wanene hupatikana na upendelea kuishi hasa katika maeneo ya bondeni.

Spishi za Afrika

Spishi za Asia

Picha

Marejeo

  • Spawls, S., Howell, K., Drewes, R. & Ashe, J. (2002) A field guide to the Reptiles of East Africa. Academic Press, San Diego, CA, USA.

Viungo vya nje

Chatu  Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chatu kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Chatu Spishi za AfrikaChatu Spishi za AsiaChatu PichaChatu MarejeoChatu Viungo vya njeChatu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MbossoLeopold II wa UbelgijiBikira MariaBorussia DortmundKichecheBendera ya TanzaniaMbwa-mwitu DhahabuTafsidaMnazi (mti)HadubiniJinaBarack ObamaKiwakilishi nafsiUlayaAngahewaUchapajiDuniaKitomeoMaudhui katika kazi ya kifasihiRisalaAgano la KaleMweziUchawiKanga (ndege)WawanjiOrodha ya visiwa vya TanzaniaMsamiatiKitenzi kikuuBarua rasmiElizabeth MichaelSamakiStadi za lughaShairiViwakilishi vya idadiDawatiDubai (mji)Orodha ya Makamu wa Rais TanzaniaWahaUtawala wa Kijiji - TanzaniaDolar ya MarekaniMeridianiJacob StephenMkoa wa RuvumaMungu ibariki AfrikaMkoa wa SongweMaambukizi ya njia za mkojoMishipa ya damuKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniWajitaJumuiya ya MadolaVielezi vya namnaMaigizoVielezi vya idadiHektariHistoria ya AfrikaHadithiPanziUtamaduni wa KitanzaniaNyotaUNICEFMagonjwa ya machoMkoa wa MtwaraDubaiMbwana SamattaVisakaleMkutano wa Berlin wa 1885Utoaji mimbaLenziVita Kuu ya Kwanza ya DuniaVitendawiliMtotoNenoFiston MayeleKilimanjaro (volkeno)🡆 More