Steve Mweusi

Steve Moses Musa (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Steve Mweusi; amezaliwa Majengo, wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi, 16 Septemba 1990) ni muigizaji wa vichekesho vifupi ambavyo hutazamwa zaidi katika mtandao ya kijamii .

Sanaa yake ambayo alikuja kuianza rasmi jijini Dar es Salaam mnamo mwaka 2018 iliweza kufungua ndoto zake za kuwa mmoja wa wasanii maarufu wa uigizaji wa vichekesho nchini Tanzania.

Steve Moses Musa
Steve Mweusi
Maelezo ya awali
Pia anajulikana kama Steve Mweusi
Amezaliwa 16 Septemba 1990
Asili yake Mkoa wa Katavi, Tanzania
Kazi yake muigizaji, vichekesho

Maisha ya awali

Steve Mweusi ameweza kuhitimu masomo ya shule ya msingi nduwi iliyopo katika wilaya ya mpanda. Amekuwa rasmi kwenye sanaa hii ya uchekeshaji kwa miaka zaidi ya minne (4) na wakati hapo awali alikuwa amejiajiri kwenye shughuli ya kusafisha mazingira maeneo ya kariakoo jijini Dar es salaam kabla hata ya nyota yake kuweza kujulikana na watanzania wengi zaidi.

Maisha yake ndani ya sanaa

Kutokana na yeye kupenda sanaa kipindi wakati aikiwa mdogo na wakati yupo masomoni, Steve Moses Musa aliweza kuendeleza sanaa hiyo zaidi kwa upande wa uchekeshaji mpaka pale uwezo wake ulipoweza kufikia hatua ya kujulikana na watanzania wengi zaidi hadi kufanya video yake ambayo aliifanya Novemba 14 mwaka 2018 kuweza kupata watazamaji waliofikia takribani milioni kumi na sita katika mtandao wa Youtube.

Kwa hatua hii mchekeshaji Steve Moses Musa au ajulikanaye kwa jina la kisanii kama Steven mweusi hatua hiyo ilimfanya kupata nguvu zaidi na hamasa ya kuweza kuendeleza kipaji chake cha uchekeshaji nchini Tanzania na kuendelea kutoa video zake mbalimbali za uchekeshaji ambazo ziliwafikia watu wengi na kuzidi kujulikana.

Msanii Steve mweusi alikuja kuungana na kijana mdogo aitwaye Selemani Omary Manjaka au kwa jina la kisanii Dogo Sele ambaye mpaka sasa anafanya naye kazi ya sanaa ya uigizaji kwa juhudi hizo ziliweza kufikia hatua ya kumfanya kijana huyu mwenye umri mdogo ambaye kipaji chake kilikuja kuonekana na Steve mweusi na kuweza kukipeleka kipaji chake cha sanaa ya uchekeshaji hadi kuweza kupata nafasi ya kupanda kwenye jukwaa la kufanya stand up comedy liitwalo Cheka tu.

Marejeo

Viungo vya nje

Tags:

Steve Mweusi Maisha ya awaliSteve Mweusi Maisha yake ndani ya sanaaSteve Mweusi MarejeoSteve Mweusi Viungo vya njeSteve Mweusi16 Septemba1990Dar es SalaamMajengo (Mpanda)Mkoa wa KataviMuigizajiSanaaTanzaniaUigizajiVichekeshoWasaniiWilaya ya Mpanda

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Uandishi wa inshaHifadhi ya Mlima KilimanjaroNomino za pekeeNdovuHurafaOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaMatendo ya MitumeClatous ChamaMachweoMajeshi ya Ulinzi ya KenyaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuBurundiMuundo wa inshaBloguAla ya muzikiWilaya ya MboziAnthropolojiaMawasilianoWabunge wa Tanzania 2020JipuHali ya hewaMandhariWenguHoma ya matumboVirusi vya CoronaMafua ya kawaidaMaambukizi nyemeleziVivumishi vya kumilikiKilwa KisiwaniMapinduzi ya ZanzibarMadhehebuMajigamboMkoa wa MaraKaswendeMkoa wa TaboraRushwaKiraiLahaja za KiswahiliWapogoloSarufiNomino za wingiNigeriaNusuirabuAdolf HitlerIsimujamiiNgoma (muziki)ElimuHafidh AmeirRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniTambikoWamasaiUajemiDolaElibariki Emmanuel KinguShinikizo la juu la damuKiingerezaNgeliHistoria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMikoa ya TanzaniaKontuaUmoja wa MataifaHaki za binadamuVivumishi vya -a unganifuVita ya Maji MajiOrodha ya nchi kufuatana na wakaziLil WayneMohammed Gulam DewjiMkwawaDar es SalaamMwalimuSentensiHerufiMr. Blue🡆 More