Joto

Joto ni hali ya umotomoto wa mtu, kitu au sehemu fulani.

Linapozidi huweza kusababisha kuungua kwa kitu kilichokabiliwa au kushika kitu chenye joto lililozidi.

Pia ipo mikoa yenye joto kali (kama vile nchini Tanzania, Dar es Salaam, Pemba). Mikoa hii ipo karibu na bahari ya Hindi kwani wanasayansi huelezea zaidi kuhusu kisa cha mikoa hii kuwa na joto kali kadiri unaposogea karibu na usawa wa bahari ndivyo joto linavyoongezeka.

Pia kunapotokea msuguano baina ya vitu viwili huweza kuleta joto.

Mababu waliweza kupata joto kwa kukaa karibu na moto, hivyo hali hii huonesha kwamba moto huweza kusababisha joto na joto huweza kusababisha moto. Lakini moto si joto, wala joto si moto.

Joto lina umuhimu mkubwa kwa binadamu kwani joto la binadamu ni nyuzi joto 36.9 au 37, hivyo joto linapozidi au linapopungua huweza kumsababishia binadamu kufariki kwa kiasi cha joto lililopungua au kuongezeka endapo atakosa matibabu.

Pia joto hutumika katika uhifadhi wa chakula. Mfano wa vyakula vinavyoweza kuhifadhiwa ni mihogo, mahindi n.k.

Marejeo

Joto  Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joto kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Mtu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Hatua tatu za maisha ya kirohoLiverpool F.C.Kimara (Ubungo)CAFMapenzi ya jinsia mojaUwanja wa WembleyNafsiHali ya hewaMkoa wa MbeyaRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniUingerezaZuchuWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiJohn Raphael BoccoMaambukizi nyemeleziNadhiriBakari Nondo MwamnyetoFalsafaKarafuuUmaskiniBinadamuAslay Isihaka NassoroMartha MwaipajaMkoa wa PwaniIsimuUturukiKunguruWakingaUtamaduniKifupiMitume wa YesuMwenge wa UhuruMsalaba wa YesuKisononoNguruweHisiaUfugaji wa kukuSomo la UchumiElimuUpendoHekaya za AbunuwasiVita ya Maji MajiVivumishi vya sifaMuda sanifu wa duniaAfrika ya Mashariki ya KijerumaniOrodha ya Watakatifu wa AfrikaUtandawaziTeknolojia ya habariUenezi wa KiswahiliAustraliaKihusishiAlama ya barabaraniKenyaWokovuKatumaVokaliJulius NyerereAli Hassan MwinyiMitishambaLionel MessiUgaidiMkoa wa Unguja Mjini MagharibiUzalendoMivighaLugha ya maandishiMpira wa miguuArusha (mji)MbogaBendera ya TanzaniaMaghaniOrodha ya milima ya TanzaniaOrodha ya milima mirefu dunianiAlomofuHadithiVielezi vya idadi🡆 More