Mlolongo Wa Kitume

Mlolongo wa Kitume (kwa Kiebrania האפיפיור הירושה, kwa Kigiriki Αποστολική διαδοχή) ni jambo linalodaiwa na imani ya baadhi ya madhehebu ya Ukristo, ya kwamba ni lazima viongozi wa Kanisa washiriki mamlaka ya Mitume wa Yesu katika mlolongo usiokatika wa kuwekewa mikono na maaskofu katika kuwapatia daraja takatifu.

Mlolongo Wa Kitume
Mlolongo wa Kitume unasadikiwa kupitia tendo la maaskofu kumwekea mtu mikono kichwani na kumuombea katika kumpatia daraja takatifu.

Imani hiyo inatiwa maanani hasa na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki, lakini pia Waanglikana na wengineo.

Kwao, maaskofu wa leo ni waandamizi wa wale wa jana na juzi hata kurudia kwa wale waliowekewa mikono na mitume wenyewe katika karne ya 1.

Mlolongo huo unahakikisha uhalali wa mamlaka yao katika kufundisha, kutakasa na kuongoza.

Kwa madhehebu mbalimbali ya Uprotestanti, suala la mikono si la lazima, kwani kwao ni muhimu zaidi kuendeleza mafundisho ya mitume.

Vyanzo na viungo vya nje

Mlolongo Wa Kitume  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mlolongo wa Kitume kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AskofuDaraja takatifuImaniKanisaKiebraniaKigirikiMadhehebuMamlakaMikonoMitume wa YesuUkristo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Novatus DismasLugha ya kigeniSomo la UchumiThabitiBurundiSemantikiFeisal SalumAmri KumiMkoa wa IringaFalsafaMkoa wa SongweMivighaCosta TitchKitenzi kikuu kisaidiziBustani ya EdeniVitenzi vishiriki vipungufuMzabibuSimbaAndalio la somoUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaKaswendeViwakilishi vya idadiMafurikoLilithIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Lionel MessiLugha ya piliUlemavuMtende (mti)Bustani ya wanyamaKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaKiburiShabaniMorokoUzazi wa mpango kwa njia asiliaMkoa wa MtwaraAzziad NasenyaKibonzoJamhuri ya Watu wa ChinaWanyamaporiMalipoOrodha ya Watakatifu WakristoSomaliaPunyetoMkoa wa PwaniSakramentiMkoa wa Unguja Mjini MagharibiRamadan (mwezi)Kanga (ndege)Chombo cha usafiriRushwaMabantuWikiVipera vya semiNgano (hadithi)KunguruShairiPasaka ya KiyahudiKiranja MkuuOrodha ya Marais wa UgandaHifadhi ya SerengetiUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaDayolojiaOrodha ya makabila ya TanzaniaKinembe (anatomia)Ngono KavuVirutubishiVita vya KageraBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiMkutano wa Berlin wa 1885PijiniMkoa wa ManyaraKunguniOrodha ya shule nchini TanzaniaMkoa wa Mbeya🡆 More