Kiranja Mkuu au Mkuu wa viranja (pia: Kaka mkuu ama Dada mkuu; kwa lugha ya Kiingereza Head Prefect; kifupi: HP) ni kiongozi wa serikali ya wanafunzi shuleni, hasa katika shule ya msingi na sekondari.
Kiranja ni mwanafunzi aliyechaguliwa na walimu au wanafunzi wenzake kwa lengo la kuwasimamia usafi, nidhamu, mazingira ya wanafunzi na kuweka daraja kati ya waalimu na wanafunzi.
Kiranja Mkuu ndiye anayewasimamia na kuwaagiza viranja wengine, ni kama Rais na wizara zake.
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiranja Mkuu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kiranja Mkuu, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.