Muziki Wa Kikristo

Muziki wa Kikristo ni muziki uliotungwa ili kutokeza imani ya Ukristo katika sanaa hiyo, kwa mfano katika kumsifu Mungu, kumshangilia Yesu Kristo, na kuomba msamaha wa dhambi.

Muziki Wa Kikristo
Kwaya ya Ethiopia mbele ya ukuta wa picha.

Hivyo, tofauti na miziki mingine, lengo kuu si kuburudika na uzuri tu.

Namna zake ni tofautitofauti kadiri ya nyakati, madhehebu, utamaduni n.k. Mojawapo, kati ya zile za zamani zaidi, inaitwa muziki wa Kigregori, kwa sababu iliagizwa na Papa Gregori I itumike kanisani.

Matumizi makubwa zaidi ni yale ya ibada, ambapo waamini waliokusanyika wanaimba pamoja, mara nyingi wakiongozwa na kwaya na wakisindikizwa na ala za muziki.

Matumizi mengine ni wakati wa kutoa mahubiri na mafundisho hata barabarani.

Pengine yanafanyika makongamano maalumu kwa wapenzi wa muziki huo, na vilevile siku hizi unarekodiwa kwa vifaa vya teknolojia hata kwa matumizi ya mtu binafsi.

Muziki Wa Kikristo
Kwaya ikiimba kanisani huko Ulaya.
Muziki Wa Kikristo
Mwimbaji Darlene Zschech.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Muziki Wa Kikristo 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Muziki Wa Kikristo  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Muziki wa Kikristo kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

DhambiImaniMsamahaMunguMuzikiSanaaUkristoYesu Kristo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Homanyongo CMlo kamiliMwanzoBiasharaSimbaMapigo yasiyo ya kawaida ya moyoAli Hassan MwinyiInjili ya MathayoWayahudiItifakiMalaikaMunguMajina ya Yesu katika Agano JipyaUlumbiBawasiriJumapili ya matawiFasihi simuliziUlemavuMivighaShirika la Utangazaji TanzaniaVasco da GamaMkoa wa MwanzaOrodha ya maziwa ya TanzaniaNgono zembeKiambishiKiingerezaSamakiMjasiriamaliMohamed HusseinUzazi wa mpango kwa njia asiliaUyahudiUkwapi na utaoMtume PetroSentensiKitenziMziziOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaMadinaMisimu (lugha)Aina za manenoUkimwiLeopold II wa UbelgijiKorea KaskaziniUbaleheChombo cha usafiri kwenye majiRita wa CasciaMashariki ya KatiHistoria ya WapareSoko la watumwaUkoloniKitunguuHistoria ya uandishi wa QuraniRitifaaViwakilishi vya urejeshiKitubioJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaUtamaduni wa KitanzaniaNomino za wingiVihisishiEkaristiTesistosteroniKigoma-UjijiShomari KapombeInstagramUjimaWazaramoTungo kishaziLughaMalipoSiasaPandaUsafi wa mazingiraBendera ya KenyaOrodha ya Marais wa BurundiNdoaAC MilanKiungulia🡆 More