Muziki Wa Kigregori

Muziki wa Kigregori ni aina nyofu ya muziki wa Kikristo inayotumia sauti moja tu tena bila ya kusindikizwa na ala yoyote.

Muziki Wa Kigregori
Wimbo wa mwanzo Gaudeamus omnes, ulioandikwa kwa nota maalumu za mraba katika karne ya 14 au 15.

Ndio muziki rasmi wa Kanisa la Kilatini ambao ulistawi Ulaya magharibi na ya kati katika karne ya 9 na ya 10.

Jina linatokana na hadithi ya kwamba Papa Gregori I ndiye aliyeagiza utumike kanisani.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Muziki Wa Kigregori 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Muziki Wa Kigregori  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Muziki wa Kigregori kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

MojaMuziki wa KikristoSauti

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kanga (ndege)YordaniWanu Hafidh AmeirRuge MutahabaMuundo wa inshaAfrika ya Mashariki ya KijerumaniSteve MweusiLugha ya taifaIsimujamiiViwakilishi vya kuoneshaAmaniHistoria ya Kanisa KatolikiAnwaniSimba S.C.TenziViwakilishi vya idadiSimu za mikononiKiarabuSoko la watumwaTabiaUsafi wa mazingiraUkuaji wa binadamuToharaNduniMkunduMkoa wa KilimanjaroAustraliaOrodha ya viongoziMlipuko wa virusi vya corona 2019-20HeshimaWanyamweziUandishiMsalabaWanilambaMitume wa YesuWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiRadiReal MadridUhuruSisimiziDivaiUtoaji mimbaMajiMaudhui katika kazi ya kifasihiShaaban (mwezi)Orodha ya matajiri wakubwa WaafrikaZiwa ViktoriaMamaShangaziZana za kilimoFani (fasihi)Orodha ya Watakatifu wa AfrikaMajeshi ya Ulinzi ya KenyaVipaji vya Roho MtakatifuVivumishi vya idadiBinadamuKitenziTundaKiswahiliKapteniRejistaChuiNchiChumba cha Mtoano (2010)Haki za watotoHadithiYouTubeAfrika ya MasharikiMtoto wa jichoNguzo tano za UislamuMuhammadUkristo barani AfrikaUbongoMikoa ya TanzaniaUlaya🡆 More