Wanu Hafidh Ameir (amezaliwa 9 Februari 1982) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Amechaguliwa kuwa mbunge wa Baraza la Wawakilishi wa Zanzibar kwa miaka 2015 – 2020.
Amechukua shahada ya sheria katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) .
Ni mtoto wa rais wa sita wa Tanzania, mama Samia Suluhu Hassan.
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Wanu Hafidh Ameir, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.