Wabunge wa Tanzania ni wawakilishi wa taifa katika Bunge la Tanzania wakichaguliwa mara moja kila baada ya miaka mitano kuingia katika Bunge la Tanzania.
Wananchi wanapiga kura katika majimbo yao. Pia, kuna viti maalum kwa wanawake na wabunge hadi 10 wanaoteuliwa na Rais na Bunge lenyewe.
Vyama vinavyofuata vina Wabunge waliochaguliwa katika uchaguzi wa 2015:
Jina na rangi | Chama Cha Mapinduzi (CCM) | |
---|---|---|
Alliance for Change and Transparency (ACT) | ||
National Convention for Construction and Reform – Mageuzi (NCCR–M) | ||
Civic United Front (CUF) | ||
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) |
( "50%" inaonyesha idadi ya wabunge waliohitajika kuwa na kura nyingi kwa uhakika bungeni) ↓ 50% | |||||
Orodha ya wabunge wa Tanzania, tovuti la bunge, liliangaliwa Mei 2017
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Wabunge wa Tanzania 2015, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.