Adadi Mohamed Rajabu (amezaliwa 20 Januari 1955) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM.
Amechaguliwa kuwa mbunge wa Muheza kwa miaka 2015 – 2020.
Ni Mwenyekiti wa Kamati ya mambo ya ndani, ulinzi na usalama wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Adadi Mohamed Rajabu, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.