Mboni Mohamed Mhita ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM.
Amechaguliwa kuwa mbunge wa Handeni Vijijini kwa miaka 2015 – 2020. Amekuwa mbunge wa Bunge la Afrika toka mwaka 2016. Alichaguliwa kuwa Rais wa Vijana wa Bunge la Afrika mwaka 2017.
Alipata kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mufindi. Mnamo Januari 2023, alichaguliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Kahama.
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Mboni Mohamed Mhita, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.