Kitunguu

Kitunguu (Allium cepa) ni aina ya tunguu la kulika ambalo hupandwa kila mahali pa dunia.

Kitunguu
(Allium cepa)
Vitunguu vyekundu
Vitunguu vyekundu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Monocots (Mimea ambayo mche wao una jani moja)
Oda: Asparagales (Mimea kama asparaga)
Familia: Alliaceae (Mimea iliyo mnasaba na kitunguu)
Jenasi: Allium
L.
Spishi: A. cepa
L.

Spishi A. cepa haitokei porini. Spishi za pori yenye nasaba ya karibu sana ni A. vavilovii na A. asarense.

Aina yenye rangi ya zambarau huitwa kitunguu maji. Aina hiyo hufikiriwa kutibu maradhi arobaini, ambayo miongoni mwao ni joto la mwili kwa ujumla na mbegu za uzazi zilizokuwa za moto.

Picha

Kitunguu  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitunguu kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

SpishiTunguu (mmea)

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Maajabu ya duniaKinyongaMbeya (mji)Tendo la ndoaHekaya za AbunuwasiHoma ya iniBustaniKiingerezaHistoria ya KanisaBikira MariaHistoria ya WapareCristiano RonaldoPiramidi za GizaMwezi (wakati)Binti (maana)Umoja wa AfrikaMkoa wa MbeyaMwanamkeWarakaBaraFasihi ya KiafrikaHalmashauriSheriaNgeliKishazi tegemeziMwenge wa UhuruVita ya Maji MajiMkoa wa KataviJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaMkonoNahauFiston MayeleSabatoHistoria ya UislamuKisaweEthiopiaJumapiliJoseph Sinde WariobaKitabu cha Yoshua bin SiraMuundoLeonard MbotelaTafsidaTanganyika African National UnionParachichiMazingiraElimu ya kujitegemeaAfrikaAfrika ya Mashariki ya KijerumaniUkoloniKadhiMisimu (lugha)AmaniEe Mungu Nguvu YetuUenezi wa KiswahiliMnyoo-matumbo MkubwaUtamaduniOrodha ya Marais wa ZambiaNziSitiariAli Hassan MwinyiMkondo wa umemeMajeshi ya Ulinzi ya KenyaBahashaSteve MweusiKinembe (anatomia)MshororoAsili ya KiswahiliMkurugenziSokoUhuruWikipediaMalaria🡆 More