Kitunguu Saumu

Kitunguu saumu au kitunguu thumu (kwa jina la kisayansi Allium sativum) ni aina ya tunguu la kulika ambalo hupandwa mahali pengi duniani.

Kitunguu saumu
(Allium sativum)
Mimea ya kitunguu saumu
Mimea ya kitunguu saumu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Monocots (Mimea ambayo mche wao una jani moja)
Oda: Asparagales (Mimea kama manyasi)
Familia: Alliaceae (Mimea iliyo mnasaba na manyasi)
Jenasi: Allium
L.
Spishi: A. sativum
L.

Hata kama “sativum” inamaanisha “ya pori”, mimea ya spishi hii ambayo inamea porini inatokana na mashamba na bustani. Jamaa yake ya pori ni A. longicuspis. Matunguu ya saumu hayako chini ya ardhi tu; mengine humea juu ya shina.

Kitunguu saumu kitiba kina matumizi mbalimbali. Kitunguu saumu kinatibu maradhi arobaini (40). Maradhi hayo kwa uchache ni kama yafuatayo: shinikizo la damu, baridi yabisi, kuondoa sumu mwilini, kisonono, minyoo, bawasiri, maradhi ya mgongo, kichocho, malaria, homa za matumbo na kadhalika.

Kwa mfano, kwa maradhi ya tumbo unatumia mbegu saba kwa kumeza au kutafuna kwa muda wa siku 11-15; kwa uwezo wa Mungu unaweza kuondokana na tatizo hilo.

Picha

Kitunguu Saumu  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitunguu saumu kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

DunianiJina la kisayansiTunguu (mmea)

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Jumuiya ya Afrika MasharikiJumuiya ya MadolaFani (fasihi)SarufiAgano JipyaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaChuiTausiVasco da GamaMkoa wa RukwaOrodha ya Marais wa TanzaniaLugha za KibantuIsraeli ya KaleIsimujamiiMacky SallSamakiOrodha ya mikoa ya Tanzania na MaendeleoRihannaMafuta ya wakatekumeniMfumo katika sokaWhatsAppLeopold II wa UbelgijiJuxAustraliaIndonesiaMbaraka MwinsheheAsili ya KiswahiliNambaKemikaliDizasta VinaVita vya KageraWashambaaMadhara ya kuvuta sigaraMfumo wa upumuajiMwanzoKairoRaiaMkoa wa TaboraSteve MweusiKamusi elezoSomo la UchumiAina ya damuUtenzi wa inkishafiMkoa wa MaraSanaa za maoneshoMsibaMwenge wa UhuruMillard AyoJihadiKisaweWahaKilimanjaro (Volkeno)TanzaniaBenjamin MkapaMshororoWilliam RutoNembo ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoDNASiasaDini nchini Tanzania28 MachiKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniBukayo SakaAfrika Mashariki 1800-1845Boris JohnsonShambaPasaka ya KikristoShengYoung Africans S.C.Zama za MaweTashtitiFid QWema SepetuVidonda vya tumboArsenal FCTendo la ndoa🡆 More