Bukayo Saka: Mchezaji wa mpira wa miguu

Bukayo Ayoyinka T.

M. Saka (alizaliwa Ealing, Greater London, 5 Septemba 2001) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama winga kwa klabu ya Arsenal FC.

Bukayo Saka
Bukayo Saka: Mchezaji wa mpira wa miguu
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaUfalme wa Muungano Hariri
Nchi anayoitumikiaUingereza Hariri
Jina katika lugha mamaBukayo Saka Hariri
Jina la kuzaliwaBukayo Ayoyinka Temidayo Saka Hariri
Jina halisiBukayo Hariri
Jina la familiaSaka Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa5 Septemba 2001 Hariri
Mahali alipozaliwaEaling Hariri
Lugha ya asiliKiingereza Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKiingereza Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuwinger Hariri
AlisomaGreenford High School Hariri
Muda wa kazi2018 Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
AmeshirikiUEFA Euro 2020, Kombe la Dunia la FIFA 2022 Hariri

Maisha ya Awali

Bukayo Saka ana asili ya Nigeria kwani wazazi wake wote ni wenyeji wa Nigeria waliohamia Uingereza kikazi. Jina lake Bukayo ni la kiasili linalomaanisha "Ongezeko la furaha" katika lugha ya kabila la Wayoruba linalopatikana kusini mwa Nigeria.

Saka alisoma shule ya msingi ya Edward Betham CofE ambapo baadae alijiunga na sekondari ya Greenford.

Saka alisikika akisema baba yake mzazi ndiye chachu au hamasa kubwa ya mafanikio yake kwani amekuwa bega kwa bega tangu mwanzo wa maisha yake ya mpira wa miguu.

Marejeo

Bukayo Saka: Mchezaji wa mpira wa miguu  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bukayo Saka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

20015 SeptembaArsenal FCKlabuMchezajiSokaUingerezaWinga

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Selemani Said JafoSidiriaHistoria ya Kanisa KatolikiUlemavuOrodha ya miji ya Afrika KusiniUjuziMshororo23 ApriliHistoria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoStashahadaMr. BlueMrijaVihisishiHistoria ya KiswahiliNgeliNdovuMwanamkeMaajabu ya duniaMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaCristiano RonaldoMaumivu ya kiunoJakaya KikwetePakaTungo kiraiJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaMwezi (wakati)NgekewaUbatizoVichekeshoVita Kuu ya Kwanza ya DuniaLionel MessiUnyevuangaKifupiFutiUtamaduni wa KitanzaniaSaratani ya mlango wa kizaziUgonjwaPalestinaOrodha ya maziwa ya TanzaniaTreniNandyTabianchi ya TanzaniaDubaiSemantikiKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniMaktabaSiasaUpendoHistoria ya UislamuKitenziDhima ya fasihi katika maishaAngahewaViwakilishiOrodha ya Marais wa ZanzibarMziziMunguUkoloniOrodha ya milima mirefu dunianiTovutiKiambishi awaliViwakilishi vya kuulizaHaki za wanyamaMaarifaUtumbo mpanaMfumo wa upumuajiNimoniaMfumo wa homoniBiasharaHakiAgano la KaleTanganyika (ziwa)TabianchiViganoDiplomasia🡆 More