Whatsapp: Emmanuel ngwisia lifwenyi amezaliwa mwaka wa 28/12/ 1986 katika mji wa nakuru

WhatsApp ni mtandao wa kijamii unaotumika kutuma ujumbe wa maneno, sauti, picha au video unaomilikiwa na kampuni ya Facebook.

WhatsApp Messenger
Whatsapp: Emmanuel ngwisia lifwenyi amezaliwa mwaka wa 28/12/ 1986 katika mji wa nakuru
Wandishi wa sasaWhatsApp Inc.
Tarehe ya kwanzaJanuari 2009; miaka 15 iliyopita (2009-01)
Lugha kompyutaErlang
Mfumo wa uendeshajiAndroid, iOS, Windows Phone, BlackBerry OS, Symbian (kuna Windows, macOS, na tovuti programu pia, lakini tu na simu)
Aina ya programuMtandao wa kijamii
Leseni ya programuBure
Tovutiwhatsapp.com
WhatsApp
Tarehe ya kwanzaFebruari 24, 2009; miaka 15 iliyopita (2009-02-24)
Mwanzilishi
Pahali pa makao makuuMountain View, California, United States
Wafanyakazi50
Mzazi ya shirikaFacebook
Tovutiwhatsapp.com
Whatsapp: Emmanuel ngwisia lifwenyi amezaliwa mwaka wa 28/12/ 1986 katika mji wa nakuru
Mtu akituma ujumbe kwa kutumia WhatsApp.

WhatsApp inatumiwa hasa kwenye simu za mkononi ingawa inaweza pia kutumika kwenye kompyuta.

Mwanzoni watumiaji walikuwa wanaweza kuwasiliana na watumiaji wengine mmoja mmoja au katika kundi lakini toka Septemba 2017 WhatsApp ilitangaza kuanzisha utaratibu wa makampuni kuwasiliana na wateja wao.

Teknolojia hii ilianzishwa na kampuni ya WhatsApp Inc. ya Mountain View, California ambayo baadaye ilinunuliwa na Facebook mnamo Februari 2014 kwa gharama ya dola za Kimarekani bilioni 19.3.

Hadi Februari 2018, WhatsApp ilikuwa na watumiaji zaidi ya bilioni moja na nusu.

Teknolojia hii imeimarika katika nchi kadhaa kama vile Brazili, India, nchi kadhaa za Ulaya kama vile Uingereza na Ufaransa.

Huduma ya kutumia WhatsApp kupiga simu ilianza kutumika Februari 2015. . Tarehe 14 Novemba 2016 WhatsApp ilianzisha huduma ya kupiga simu kwa video kwa simu zinazotumia android, simu za iPhone na Windows.

Tarehe 18 Januari 2016, mwanzilishi wa WhatsApp Jan Koum alitangaza kuwa kampuni hii haitatoza dola 1 ya Marekani kwa matumizi ya WhatsApp mwaka mmoja ili kuondoa tatizo lililokuwa linawasumbua watumiaji wasio na njia ya kulipa. Alitangaza pia kuwa kampuni hii haitaweka matangazo ya kampuni nyingine na badala yake itaimarisha huduma nyingine kama vile mawasiliano ya watumiaji na makampuni. Gharama ya WhatsApp huwa ni gharama watumiaji wanayolipa ili kutumia intaneti kwenye makampuni ya simu. Gharama hii hutofautiana kati ya nchi na nchi na pia kati ya kampuni za simu.

Historia

WhatsApp ilianzishwa na Brian Acton na Jan Koum mnamo mwaka 2009. Wote wawili walikuwa wafanyakazi wa zamani wa Yahoo! Kabla ya kuanzisha WhatsApp, waliona umuhimu wa kuwa na njia rahisi na ya haraka ya mawasiliano kwenye simu za mkononi.

WhatsApp ilitoka kama suluhisho la kutoza ada ya kila mwaka kwa watumiaji wake, badala ya kutegemea matangazo au mauzo ya data. Modeli hii ya biashara ilisaidia kudumisha faragha ya watumiaji kwa kiwango kikubwa. Huduma ilipata umaarufu haraka kutokana na urahisi wake wa matumizi, ujumuishaji wa nambari za simu kama kitambulisho, na uwezo wa kutoa mawasiliano ya haraka kwa njia ya ujumbe wa maandishi.

Mnamo mwaka 2014, WhatsApp ilinunuliwa na kampuni ya Facebook kwa dola bilioni 19. Hata baada ya ununuzi huo, WhatsApp ilijitahidi kudumisha sifa yake ya faragha na kutofautisha kati ya data ya WhatsApp na akaunti za Facebook. Hata hivyo, mabadiliko kadhaa yamefanywa kwa muda kuhusu sera za faragha, na mjadala kuhusu hili umeibuka mara kwa mara.

WhatsApp imeendelea kuwa mojawapo ya programu maarufu duniani kwa mawasiliano ya simu ya mkononi na inaendelea kuboreshwa na kupanuliwa na Facebook.

Marejeo

Whatsapp: Emmanuel ngwisia lifwenyi amezaliwa mwaka wa 28/12/ 1986 katika mji wa nakuru  Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

FacebookKampuniMtandao wa kijamiiNenoPichaSautiUjumbeVideo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

WanyaturuLugha ya kwanzaNabii EliyaMwanzoMfumo wa vyama vingiSilabiKhadija KopaNomino za pekeeMamaVivumishiViwakilishi vya idadiUjimaOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaMungu ibariki AfrikaMkoa wa NjombeSanaaNusuirabuRiwayaPijini na krioliMartha MwaipajaLatitudoMeridianiMkoa wa ManyaraMfumo wa upumuajiKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaMalawiMapenziArudhiMaji kujaa na kupwaMkataba wa Helgoland-ZanzibarPistiliWahaMatiniJakaya KikweteMnyamaAzimio la Kimataifa juu ya Haki za BinadamuDawa za mfadhaikoFutiUsawa (hisabati)Steve MweusiShangaziWordPressWaziri wa Mambo ya Ndani (Tanzania)MaktabaDhima ya fasihi katika maishaYoung Killer MsodokiLilithMtandao wa kijamiiLakabuOrodha ya Magavana wa TanganyikaUkoloni MamboleoUnyevuangaElimuVita vya KageraKiini cha atomuAlomofuIniMaghaniSentensiLionel MessiDawatiKoloniTabiaAina za udongoOrodha ya volkeno nchini TanzaniaShambaBendera ya TanzaniaAngahewaIsraeli ya KaleTarcisius NgalalekumtwaSemiWaheheBunge la Tanzania🡆 More