Utenzi Wa Inkishafi

Utenzi wa inkishafi ni moja kati ya tungo za kale sana ambazo zimeweza kuhifadhiwa na kuonekana hadi leo.

Ni tungo ambayo imejadiliwa katika makongamano mengi ya Kiswahili kutokana na mtindo na maudhui yaliyotumika katika utenzi huu.

Kuna madai ambayo hayajathibitishwa kuwa kikamilifu kuwa inkishafi ulitokana na tungo za Kiswahili za zamani ziitwazo shairi la Qala al Muhadhar

Utenzi huu ulitungwa mwaka 1853 na nakala hii iliweza kupatikana katika milki ya Sayyed Munsab ambaye alihusiana kinasaba na mtunzi wa utenzi huu, Sayyed Abdallah Bin Ally. Watafiti wengi wa lugha ya Kiswahili wamekuwa wakitumia utenzi huo katika kuchunguza mambo mbalimbali yanayohusu lugha na fasihi ya Kiswahili.

Tanbihi

Utenzi Wa Inkishafi  Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Utenzi wa inkishafi kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KiswahiliMaudhuiMtindoTungoUtenzi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MandhariUfufuko wa YesuUbaleheSisimiziWamandinkaNungununguKaswendeKishazi tegemeziAmri KumiMitume na Manabii katika UislamuKorea KaskaziniWilliam RutoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaBiasharaUbuyuNabii EliyaArsenal FCUingerezaAlfabetiJuxZabibuVivumishiMongoliaMaji kujaa na kupwaMafarisayoBarabaraMbooMaambukizi nyemeleziRose MhandoMashuke (kundinyota)AfyaSaida KaroliHistoria ya IsraelNyegereKaramu ya mwishoMkoa wa DodomaAsiaTanzania Breweries LimitedUtoaji mimbaMwakaBaruaTreniRedioSaratani ya mapafuMalawiSamakiMaajabu ya duniaUjamaaRohoUfahamuDhahabuWagogoVidonda vya tumboKoffi OlomideWanyamweziRené DescartesUislamuUtamaduni wa KitanzaniaUti wa mgongoPasaka ya KikristoMeta PlatformsMfumo katika sokaMkoa wa TangaOrodha ya Marais wa TanzaniaOrodha ya miji ya Afrika KusiniBiblia ya KikristoKalenda ya KiyahudiBendera ya TanzaniaSean CombsTausiTungo kishaziNominoKisononoKamusiKitenzi kikuuMtende (mti)Ugonjwa wa moyoWizara za Serikali ya Tanzania🡆 More