Mtunzi

Mtunzi (kutoka kitenzi kutunga; kwa Kiingereza: composer, kutoka Kilatini compōnō, yaani naweka pamoja) ni hasa mwanamuziki ambaye amebuni wimbo au muziki wa aina yoyote.

Mara nyingi mtunzi ni pia mwimbaji au mpiga ala bora.

Mtunzi
Mtunzi Mfaransa Louis-Nicolas Clérambault akiandika juu ya kinanda.

Katika Kiswahili jina hilohilo linaweza pia kutumika kwa mtu aliyeandika kitabu au shairi, lakini pia msanii wa aina nyingine aliyebuni kitu kipya.

Mtunzi Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtunzi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KiingerezaKilatiniKitenziMuzikiMwanamuzikiMwimbajiWimbo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Jiografia ya TanzaniaAunt EzekielAzimio la ArushaMaskiniTabiaMarekaniBiasharaNyegeMshororoUhakikiUhakiki wa fasihi simuliziSintaksiUkooMfumo wa vyama vingiMeliAfyaSamia Suluhu HassanKipepeoNathariKamusi ya Kiswahili sanifuUngujaHadithiNdovuAfrika ya MasharikiMkoa wa IringaOsama bin LadenKadi za mialikoLatitudoVivumishi vya pekeeMange KimambiMbuKajala MasanjaInshaUtapiamloWhatsAppTiktokAslay Isihaka NassoroMisimu (lugha)NahauHarmonizeOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoWaziri wa Mambo ya Ndani (Tanzania)WapareJotoOrodha ya nchi za AfrikaKigaweBurundiVielezi vya mahaliEdward SokoineJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaYesuNyumbaTanganyikaAsili ya KiswahiliFasihi simuliziUyahudiMethaliKisononoMkoa wa KilimanjaroTarafaLughaTanganyika (ziwa)Mkoa wa MorogoroVieleziFasihiMwanza (mji)Mkoa wa PwaniTarcisius NgalalekumtwaMwigizajiSanaa za maoneshoKunguruMakabila ya IsraeliHadithi za Mtume MuhammadOrodha ya makabila ya Kenya🡆 More