Wamandinka

Wamandinka (pia wanajulikana kama Mandenka, Mandinko, Mandingo, Manding au Malinke) ni jina la kabila kubwa huko Afrika ya Magharibi.

Wanakadiriwa kufikia milioni kumi na moja (makundi mengine makubwa ya kikabila katika eneo hilo ambao hawahusiani ni pamoja na Wafula, Wahausa na Wasonghai). Wamandinka ni kizazi cha Dola la Mali, ambao walitamba sana wakati wa utawala wa mfalme wa Kimandinka Sundiata Keita.

Wamandinka
Safari ya Sultani Mansa Musa ya kutembelea Mecca mnamo 1324 akiwa na dhahabu ilivutia sana Mashariki ya Kati na Waislamu wa Afrika Magharibi kwa Wamandinka.

Marejeo

Jisomee

  • Charry, Eric S. (2000). Mande Music: Traditional and Modern Music of the Maninka and Mandinka of Western Africa. Chicago: University of Chicago Press. ISBN 0-226-10161-4. 
  • Lucie Gallistel Colvin. Historical Dictionary of Senegal. Scarecrow Press/ Metuchen. NJ - Kondon (1981) pp. 216–217
  • Pascal James Imperato. Historical Dictionary of Mali. Scarecrow Press/ Metuchen. NJ - Kondon (1986) pp. 190–191
  • Robert J. Mundt. Historical Dictionary of the Ivory Coast (Côte d'Ivoire). Scarecrow Press/ Metuchen. NJ - Kondon (1987) pp. 98–99
  • Robert W. Nicholls. "The Mocko Jumbie of the U.S. Virgin Islands; History and Antecedents". African Arts, Vol. 32, No. 3 (Autumn, 1999), pp. 48–61+94-96
  • Matt Schaffer (Editor). "Djinns, Stars and Warriors: Mandinka Legends from Pakao, Senegal" (African Sources for African History, 5) Brill Academic Publishers (2003) ISBN 978-90-04-13124-8
  • Matt Schaffer. "Bound to Africa: The Mandinka Legacy in The New World". History in Africa 32 (2005) 321-369
  • ETHNOLOGUE Languages of the World- Thirteenth Edition (1996).

Viungo vya Nje

Tags:

Afrika ya MagharibiDola la MaliJinaKabilaKimandinkaKumi na mojaMfalmeMilioniSundiata KeitaUtawalaWahausa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

TafsiriMtakatifu MarkoRaiaJamhuri ya Watu wa ChinaMaambukizi ya njia za mkojoWanyama wa nyumbaniMungu ibariki AfrikaSayansi ya jamiiMkoa wa SongweKondomu ya kikePasakaMtandao wa kompyutaUandishiWameru (Tanzania)ShangaziRejistaHistoria ya KiswahiliHomoniMasharikiSteven KanumbaUrusiSiasaJinaMuungano wa Tanganyika na ZanzibarHektariPemba (kisiwa)YouTubeUyahudiViwakilishi vya kumilikiWarakaMilanoDiglosiaMwanzoRayvannyWilaya ya ArushaIndonesiaDiamond PlatnumzKonyagiGongolambotoDubai (mji)Ligi Kuu Uingereza (EPL)DhamiraUharibifu wa mazingiraBiolojiaBungeJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoSwalaBibliaKimara (Ubungo)NdovuMkoa wa KataviChuo Kikuu cha Dar es SalaamMahakama ya TanzaniaVivumishi vya kumilikiNgw'anamalundiMahindiTanganyika (maana)KiarabuDemokrasiaBenderaDaktariSadakaPamboVirusi vya UKIMWIUenezi wa KiswahiliYesuMfumo wa upumuajiMkoa wa SingidaJava (lugha ya programu)Usanifu wa ndani🡆 More