Utawala

Utawala (kutoka neno la Kiarabu) ni mamlaka na haki ya kuongoza.

Ni jambo lisiloepukika katika maisha ya pamoja ya binadamu.

Utawala
Julius Nyerere aliyekua Mtawala wa Tanzania mwaka 1977-1985
Utawala
Donald Trump Mtawala wa Marekani Mwaka 2017-2021

Utawala umejitokeza kwa namna nyingi katika ngazi mbalimbali katika historia ya dunia.

Kwa mfano, utawala unaweza kuwa wa kisiasa juu ya nchi au kabila katika jamii husika.

Katika Biblia

Biblia inaelezea ni kusudi la Mungu kumuumba mwanadamu ili akatawale viumbe vyake vingine. Kitabu cha Mwanzo 1:27-28 Kinasema: "Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba. Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi"

Hivyo mwanadamu aliumbwa ili ashike utawala juu ya vile Mungu alivyoviumba.

Lakini utawala ni hasa sifa ya Mungu katika maongozi yake juu ya ulimwengu aliouumba.

Ni hasa Yohane Mbatizaji na Yesu waliotangaza ujio wa utawala wa Mungu kama kiini cha ujumbe wao.

Tags:

BinadamuHakiKiarabuMaishaMamlakaNeno

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UnyagoKanisaMartin LutherOrodha ya mito nchini TanzaniaDiniUjerumaniSayansi ya jamiiNahauMkoa wa KageraHaki za binadamuNgonjeraMkoa wa SimiyuMshubiriUfugajiApril JacksonTanganyika African National UnionBikiraHafidh AmeirWikipediaUkabailaUajemiMbezi (Ubungo)Mauaji ya kimbari ya RwandaUandishi wa inshaUzalendoHifadhi ya mazingiraHarmonizeNyukiJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoBahari ya HindiKalenda ya KiislamuNdiziLiverpoolNimoniaIsraelMaambukizi nyemeleziMtakatifu MarkoSimuUfugaji wa kukuBiashara ya watumwaSimbaTashihisiMishipa ya damuMamaBikira MariaHistoria ya IranMkoa wa SongweNyati wa AfrikaMnyamaMwanzoManchester CityPijiniMagonjwa ya kukuKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaTupac ShakurMajeshi ya Ulinzi ya KenyaMatumizi ya lugha ya KiswahiliMuungano wa Tanganyika na ZanzibarMizimuMkoa wa MwanzaHoma ya matumboTendo la ndoaRisalaNabii EliyaKimara (Ubungo)UkooDivaiLughaAsili ya KiswahiliKifaruHistoria ya WasanguKisimaUgonjwaSimba S.C.🡆 More