Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Maisha" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Maisha ni muda ambao kiumbe hai anajaliwa kuishi. Ni hali tofauti kabisa na uzima wa milele, kwa kuwa uhai wake una mwanzo na mwisho. Hasa mwisho unasababisha... |
Maisha ya Kiroho katika Ukristo ndiyo maisha ya kuongozwa na Roho Mtakatifu nyuma ya Yesu Kristo kwa utukufu wa Mungu Baba. Ufuasi huo unafanyika pamoja... |
Maisha gerezani (pia yanajulikana kama kifungo cha maisha au maisha kifungoni) ni hukumu cha kifungo kwa uhalifu mbaya ambapo mshtakiwa hubaki katika... |
Maisha Bora ni kijiji cha Kenya mashariki, katika kaunti ya Isiolo.... |
Maana ya maisha ni mojawapo kati ya masuala makuu kuhusu thamani, madhumuni na umuhimu wa binadamu kuwepo duniani na wa maisha kwa jumla. Suala hilo linaweza... |
Juhudi (elekezo toka kwa Ugumu wa maisha) kiroho, ya kiuchumi n.k. Dini nyingi zinahimiza juhudi katika maadili na maisha ya kiroho. Randall Collins (2000), The sociology of philosophies: a global... |
Mkaapweke (elekezo toka kwa Maisha ya upwekeni) kusali tu. Asia ilikuwa na maisha ya kitawa walau tangu karne ya 6 KK, hasa katika Uhindu na Ubuddha. Katika Ukristo asili ya maisha hayo ni jangwa la Misri... |
Maisha ya wakfu ni ufupisho wa "Maisha yaliyowekwa wakfu kwa kushika mashauri ya Kiinjili". Unaeleza hali ya pekee ya baadhi ya Wakristo ndani ya Kanisa... |
jambo fulani. Katika maisha tumepitia vitu mbalimbali, baadhi tunaweza tukavikumbuka na vingine hatuvikumbuki, na katika maisha kadri muda unavyokwenda... |
Maisha ya Antoni ni kitabu kilichoandikwa na askofu Atanasi wa Aleksandria mwaka 360 hivi kuhusu maisha ya mmonaki Antoni Mkuu wa Misri aliyekuwa amefariki... |
Kazi ni sehemu muhimu ya maisha ya binadamu, hivyo ina nafasi kubwa katika anthropolojia, falsafa, teolojia,fizikia na sosholojia. Inafafanuliwa kama utendaji... |
Mmonaki (fungu Maisha ya pamoja mashariki) mitindo na masharti ya maisha ya kawaida. Miundo mipya ya umonaki ilitegemea matatu: mwanzilishi, kanuni, upweke. Mtindo huo wa maisha, ambao ndio mchango... |
Maisha ya Bikira Maria kadiri ya historia yanajulikana hasa kutokana na habari zilizomo katika Injili nne zinazotumiwa na Wakristo pamoja na Matendo ya... |
Hatua tatu za maisha ya Kiroho ni kati ya masuala makuu ya Teolojia ya Kiroho. Hatua hizo zinaitwa za wanaoanza, wanaoendelea na waliokamilika; au za utakaso... |
Stadi za maisha ni maarifa yanayotarajiwa kumsaidia mtu kuishi vema . Maisha ni muambatano wa muda pamoja na matukio, hivyo ni muhimu kufahamu kuwa muda... |
تاریخ tarih kwa maana ya "historia": pia tena "mapisi") ni somo kuhusu maisha ya binadamu na utamaduni wao wakati uliopita. Mara nyingi neno hilo lina... |
Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes ni jina la kitabu kinachoelezea maisha na harakati zilizokuwa zinafanywa na hayati Abdulwahid Sykes katika kupigania... |
Dhima ya fasihi katika maisha zinaeleza jinsi fasihi inavyofanya kazi mbalimbali katika maisha ya binadamu, kama vile: kKuelimisha jamii kukuza lugha... |
Pia unaweza ukasema kwamba elimu ni ufunguo wa maisha ukimaanisha kuwa elimu ndiyo kila kitu kwenye maisha ya mwanadamu kwa kuwa huwezi kutatua tatizo fulani... |
Maisha Yangu Baada ya Miaka Hamsini ni kitabu kilichoandikwa na Shaaban Robert mwenyewe akielezea historia na matukio yaliyotokea katika maisha yake na... |