Ujumbe ni mafunzo yanayopatikana baada ya kusoma, kusikiliza au kupitia kazi fulani ya kifasihi usanii: ujumbe unapatikana kupitia dhamira husika katika kazi hiyo.
Ujumbe unaweza kutolewa kwa njia mbalimbali kati ya mtu na mtu, lakini pia kwa umati, hasa siku hizi kupitia vyombo vya mawasiliano ya kijamii.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ujumbe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Ujumbe, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.