Huduma Ya Ujumbe Mfupi

Huduma ya ujumbe mfupi au huduma ya ujumbe mfupi wa maandishi (kutoka Kiing.

Yanafahamika sana kwa kuitwa "arafa" au "ujumbe mfupi". Ukiwa na SMS, mtu mmoja anaweza kumtumia mtu mwingine ujumbe wa maandishi.

Huduma Ya Ujumbe Mfupi
Simu inapokea ujumbe mfupi wa maandishi.

Historia

Utafiti kuhusu huduma ya ujumbe mfupi kwa simu ilianzia miaka ya 1980. Ilivumbuliwa na shirika la Franco German GSM chini ya uongozi wa Friedhelm Hillebrand na Bernard Ghillebaert. Ujumbe mfupi wa kwanza ulitumwa naye mtafiti Neil Papworth mnamo 3 Desemba 1992 kwa mwenzake Richard Jarvis huku akimtakia Krismasi yenye fanaka. Maneno ya huduma hii fupi ilikuwa 'Merry Christmas'.

Matumizi ya ujumbe mfupi yanakwenda pole mno, kwa kuwa kwa kawaida watu wengi hupenda kutumia njia ya kupiga simu ya sauti badala ya kutuma ujumbe mfupi. Vilevile kuna mipaka ya utumaji maandishi yasiyozidi 160. Ukituma ujumbe mrefu zaidi huhesabiwa kama jumbe zaidi ya moja, ambapo mtumiaji atatakiwa alipe zaidi ya ujumbe mmoja.

Jumbe fupi hutumwa kwa simu nyingine iwapo simu ya kawaida haikubali au inatumika sana. Ijapokuwa kuna baadhi ya watu wao huwa mahodari wa kutuma jumbe za kawaida. Matumizi ya jumbe fupi, huenda mtu yupo sehemu yenye mkusanyiko mkubwa wa watu na hawezi kuongea mbele yao, basi atatumia huduma ya ujumbe mfupi kumfahamisha huyo mtumiaji mwenzake juu ya suala fulani nyeti kwa kutumia huduma hii. Gharama za jumbe itategemea na mtandao unaokupa huduma. Baadhi ya mitandao hutoa jumbe bila kikomo kwa kujiunga na baadhi ya vifurushi wanavyotoa huduma maalumu za jumbe bila kikomo kwa wateja wao.

Maendeleo

Hivi leo, huduma ya ujumbe mfupi umesambaa na kutandaa kote duniani. Kulingana na tovuti ya Forbes, huduma ya jumbe fupi imekuwa ikishamiri kutoka mwaka wa 2019 katika mauzo ya kidijtali hata kuliko matumizi ya barua pepe, Facebook na Twitter. Tovuti ya AXIS inadhihirisha kuwa kati ya wale wote waliotumiwa huduma fupi, asilimia tisini hufungua jumbe hizi ikilinganishwa na asilima ishirini ya waliotumiwa barua pepe.

Tanbihi

Marejeo

Huduma Ya Ujumbe Mfupi  Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Huduma Ya Ujumbe Mfupi HistoriaHuduma Ya Ujumbe Mfupi MaendeleoHuduma Ya Ujumbe Mfupi TanbihiHuduma Ya Ujumbe Mfupi MarejeoHuduma Ya Ujumbe MfupiKiing.MawasilianoSimu za mikononi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Bata MzingaMajiJogooKukiLilithHoma ya iniKishazi tegemeziOrodha ya viongoziMkoa wa MtwaraUongoziUkabailaMtakatifu PauloKukuNomino za pekeeHoma ya mafuaAustraliaMsalabaMahakamaHali maadaAunt EzekielHekalu la YerusalemuWamasoniDNAUnju bin UnuqMajira ya mvuaKilatini28 MachiSerikaliKalenda ya KiislamuUtenzi wa inkishafiPasaka ya KiyahudiKiini cha atomuOrodha ya vitabu vya Biblia2 AgostiMaudhuiMakabila ya IsraeliOrodha ya Magavana wa TanganyikaPichaUkatiliWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiMwenge wa UhuruUlemavuMsukuleWayahudiWayao (Tanzania)Historia ya AfrikaNyokaMkoa wa LindiKisiwa cha MafiaWazaramoUpinde wa mvuaMkoa wa NjombeSamakiMagonjwa ya machoBibliaMajina ya Yesu katika Agano JipyaVita Kuu ya Kwanza ya DuniaHistoriaMbogaJiniShirikisho la Afrika MasharikiNamba ya mnyamaJamhuri ya Watu wa ZanzibarSeli nyeupe za damuMaumivu ya kiunoKorea KaskaziniAzimio la kaziMapinduzi ya ZanzibarOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaNandySemiNamba za simu TanzaniaAslay Isihaka Nassoro🡆 More