Nyoka

Oda za chini 3 na familia za juu 9:

Nyoka
Futa
Futa
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Reptilia (Wanyama wenye damu baridi na magamba ngozini)
Oda: Squamata (Mijusi, mijusi-nyungunyungu na nyoka)
Nusuoda: Serpentes (Nyoka)
Ngazi za chini

  • Caenophidia
    • Acrochordoidea
    • Colubroidea
    • Elapoidea
    • Homalopsoidea
    • Pareatoidea
    • Viperoidea
    • Xenodermatoidea
  • Henophidia
    • Booidea
  • Scolecophidia
    • Typhlopoidea

Nyoka ni watambaachi au reptilia wasio na miguu. Kuna takriban spishi 3,000 duniani: wako kwenye mabara yote nje ya Antaktiki na Aktiki.

Kama reptilia wote wana damu baridi na ngozi ya magamba. Wote ni wala nyama na spishi mbalimbali hutumia sumu kwa kuvionda lakini nyoka walio wengi hawana sumu wanashika windo kwa miili yao au kwa mdomo tu.

Wote wanazaa kwa njia ya mayai lakini spishi kadhaa hubeba mayai ndani ya mwili hadi wadogo wamekua tayari.

Mijusi wasio na miguu wanafanana sana na nyoka lakini nyoka hawana makope machoni wala masikio ya nje.

Kuna nyoka wadogo wenye sentimita kumi tu wakiwa wazima na nyoka wakubwa hadi urefu wa mita 7.6.

Mwainisho

  • Nusuoda: Serpentes
    • Oda ya chini: Caenophidia
      • Familia ya juu: Acrochordoidea
        • Familia: Acrichordidae
      • Familia ya juu: Colubroidea
      • Familia ya juu: Elapoidea
        • Familia: Atractaspididae (Afrika na Asia) - matandu, vizambarau, walanyoka
        • Familia: Elapidae (Afrika, Asia, Australia na Marekani) - fira, futa, hongo
        • Familia: Lamprophiidae (Afrika)
        • Familia: Prosymnidae (Afrika)
        • Familia: Psammophiidae (Afrika, Asia na Ulaya)
        • Familia: Pseudaspididae (Afrika)
        • Familia: Pseudoxyrhophiidae (Afrika na Marekani)
      • Familia ya juu: Homalopsoidea
        • Familia: Homalopsidae (Asia na Australia)
      • Familia ya juu: Pareatoidea
        • Familia: Pareatidae (Asia)
      • Familia ya juu: Viperoidea
      • Familia ya juu: Xenodermatoidea
        • Familia: Xenodermatidae (Asia)
    • Oda ya chini: Henophidia
      • Familia ya juu: Booidea
        • Familia: Aniliidae (Amerika ya Kusini)
        • Familia: Anomochilidae (Asia)
        • Familia: Boidae (Afrika, Asia, Marekani na Ulaya) - sundakuwili
        • Familia: Pythonidae (Afrika, Asia na Australia) - chatu
        • Familia: Bolyeriidae (Afrika)
        • Familia: Cylindrophiidae (Asia)
        • Familia: Loxocemidae (Amerika ya Kati)
        • Familia: Tropidophiidae (Marekani)
        • Familia: Uropeltidae (Asia)
        • Familia: Xenopeltidae (Asia)
    • Oda ya chini: Scolecophidia

Marejeo

  • Spawls, S., Howell, K., Drewes, R. & Ashe, J. (2002) A field guide to the Reptiles of East Africa. Academic Press, San Diego, CA, USA.

Viungo vya nje

Nyoka 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Nyoka  Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nyoka kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

NgeliJamhuri ya Watu wa ChinaManispaaDubai (mji)John Raphael BoccoHoma ya matumboZuhuraKigogo (Kinondoni)TashihisiNominoUandishiDiamond PlatnumzUtataMajiVivumishi vya ambaUmemeChemsha BongoUkoloniYouTubeZuchuHisaTanzaniaKifua kikuuMkanda wa jeshiTaswira katika fasihiOrodha ya Marais wa TanzaniaSintaksiDola la RomaKitomeoMkoa wa DodomaKadi za mialikoBendera ya ZanzibarMbogaHafidh AmeirMivighaMfumo wa JuaJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoHuduma ya kwanzaUmaskiniNetiboliKiburiMbuAlfabetiMadhara ya kuvuta sigaraMpira wa miguuTamathali za semiSaidi Salim BakhresaMichezo ya watotoDhamiraTafsidaKinyongaHifadhi ya mazingiraTambikoUandishi wa ripotiSheriaMandhariMichael JacksonBendera ya KenyaTabianchi ya TanzaniaP. FunkMbwana SamattaMkoa wa ArushaUNICEFUkongaMuda sanifu wa duniaUtafitiVita ya uhuru wa MarekaniWema SepetuKalenda ya KiislamuBaruaIpagalaNduniWadatogaYesu🡆 More