Wadatoga: Kabila la Jamii Asilia Nchini Tanzania

Wadatooga (pia huitwa Wataturu au Wamang'ati) ni kabila la watu wa Kiniloti nchini Tanzania wanaoishi hasa katika mikoa ya Manyara, Mara, Arusha na Singida.

Wadatoga: Kabila la Jamii Asilia Nchini Tanzania
Wadatoga wakiwamba ngozi.

Mwaka 2000 walikadiriwa kuwa 87,978.

Lugha yao ni Kidatooga, ingawa lahaja zake zinatofautiana kiasi kwa kufanya maelewano kuwa magumu.

Kuna walau makundi saba:

  • Wabajuta
  • Gisamjanga (Kisamajeng, Gisamjang)
  • Wabarabayiiga (Barabaig, Barabayga, Barabaik, Barbaig)
  • Waasimjeeg (Tsimajeega, Isimijeega)
  • Warootigaanga (Rotigenga, Rotigeenga)
  • Waburaadiiga (Buradiga, Bureadiga)
  • Wabianjiida (Biyanjiida, Utatu)
Wadatoga: Kabila la Jamii Asilia Nchini Tanzania Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wadatoga kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KabilaMikoaMkoa wa ArushaMkoa wa ManyaraMkoa wa MaraMkoa wa SingidaTanzaniaWatu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Jomo KenyattaUbatizoJotoDamuMafuta ya wakatekumeniKimondo cha MboziUbaleheNomino za dhahaniaKoreshi MkuuSemantikiArsenal FCVichekeshoMtaalaTeknolojia ya habariSayari27 MachiSumakuMasharikiWazaramoVirusi vya UKIMWIUkwapi na utaoUNICEFAslay Isihaka NassoroMazingiraUyahudiMwanzoFonetikiWikipediaMlo kamiliTungo sentensiKahawiaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKaswendeHaki za binadamuMariooBungeWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiMalawiNomino za kawaidaUjasiriamaliBoris JohnsonAbby ChamsSiku tatu kuu za PasakaKukuFasihi andishiBurundiMwenge wa UhuruJuxAli KibaSkautiNgamiaDar es SalaamDr. Ellie V.DHistoria ya UislamuIniDubaiMendeAbedi Amani KarumeBibliaViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)MapafuFigoAina za udongoSaratani ya mlango wa kizaziKhadija KopaWaheheUpendoJumaMkoa wa LindiJumapili ya matawiMsukuleNyweleWiki CommonsMkoa wa KataviTelevisheni🡆 More