Mguu

Mguu ni sehemu ya mwili chini ya kiwiliwili.

Mguu
Mchoro wa mguu wa binadamu.

Binadamu huwa na miguu miwili na anaitumia kwa kutembea amesimama wima. Wanyama wengi wana miguu minne na kuitumia yote pamoja kwa kutembea.

Mguu ni moja ya sehemu zenye umuhimu mkubwa katika jamii.

Shida za miguu

Kati ya shida zilizo za kawaida kwa miguu ya binadamu ni kama kuibuka vidonda vya fungi, gout, maumivu kwa kuvalia viatu vinavyobana, kuubuka ngozi na miguu kuwa kombo hasa unapopata ajali.

Shida hizo zafaa ziangaliwe kadiri zinapochipuka. Inafaa pia uvalie viatu visivyobana na kama miguu inakwenda kombo uvalie arch braces.

Viungo vya Nje

Mguu  Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mguu kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KiwiliwiliMwili

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mfumo wa JuaClatous ChamaMkoa wa ArushaKumaDhahabuUsawa (hisabati)KaswendeKiwakilishi nafsiMishipa ya damuKamusi za KiswahiliHifadhi ya NgorongoroOrodha ya nchi za AfrikaFalme za KiarabuJakaya KikweteHoma ya iniKilimanjaro (volkeno)Mkoa wa SimiyuUzazi wa mpango kwa njia asiliaVirusi vya CoronaMjusi-kafiriMapambano ya uhuru TanganyikaTendo la ndoaMkoa wa ShinyangaVita Kuu ya Pili ya DuniaMohammed Gulam DewjiNigeriaDubaiSayariKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniDola la RomaUongoziKiambishi tamatiHekaya za AbunuwasiHaki za wanyamaHuzuniKassim MajaliwaMaigizoJogooWabunge wa Tanzania 2020AngahewaMabantuUzazi wa mpangoKiimboMbwana SamattaBikira MariaMkoa wa KigomaVipaji vya Roho MtakatifuLigi Kuu Tanzania BaraNahauViganoMkutano wa Berlin wa 1885KinyongaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuUkristo barani AfrikaMkoa wa SingidaLil WayneShabuKilatiniWahayaTungo kishaziSan Jose, CaliforniaNimoniaOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaWhatsAppLigi Kuu Uingereza (EPL)Ng'ombeNzigeAfrika ya Mashariki ya KijerumaniMkataba wa Helgoland-ZanzibarDolaMwanamkeKizunguzunguLugha rasmiVidonge vya majiraJipu🡆 More