Daktari

Daktari (au dokta; wingi wake unaundwa kwa kutanguliza ma-) ni neno lenye asili ya Kilatini (doctor) lililoingia Kiswahili kwa kupitia Kiingereza.

Hutumiwa kwa maana mbili:

Daktari
Kielelezo kinacho wakirisha daktari

1) Mtaalamu aliyepata mafunzo maalum kwenye chuo kikuu cha kutibu maradhi ya wagonjwa. Mtu wenye ujuzi wa kutibu anaitwa pia mganga (wa), tabibu (ma). Daktari humtibu mgonjwa kwa kutumia sindano, kumtundikia dripu n.k. baada ya kumpima baadhi ya vitu kama:

  • Kumpima damu
  • Kumpima mapigo ya moyo n.k. Maranyingi daktari hufanya kazi yake katika sehemu maalumu iitwayo Hospitali.

2) Kwa kufuata tabia za lugha nyingine daktari hutumiwa pia kama jina la heshima kwa mtu aliyepata shahada ya uzamivu au "PhD" ambayo ni shahada ya juu kabisa.

Picha

Daktari  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daktari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AsiliKiingerezaKilatiniKiswahiliNeno

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

NenoMisimu (lugha)Mkoa wa MbeyaMbwaNetiboliUmoja wa AfrikaViwakilishi vya kuoneshaAzimio la ArushaSadakaSaa za Afrika MasharikiKarafuuMethaliDar es SalaamSayansiKupatwa kwa JuaMfumo katika sokaWikipediaPijini na krioliLigi Kuu Uingereza (EPL)Orodha ya Magavana wa TanganyikaJoseph Leonard HauleTanganyikaMapambano ya uhuru TanganyikaHekaya za AbunuwasiDoto Mashaka BitekoJokate MwegeloAgano JipyaKipandausoMadiniUtohoziBungeUtoaji mimbaMichezo ya OlimpikiOrodha ya Marais wa ZanzibarUzazi wa mpangoSarafu ya BitDubuNchiKichecheMimba kuharibikaLebanoniOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaKitomeoWilaya za TanzaniaHali ya hewaTovutiMamelodi Sundowns F.C.Barua rasmiFalsafaKengeTarakilishiDubai (mji)UaminifuUgaidiMtume BartolomayoSikioVitendawiliKiunguliaWamanyemaKatekisimu ya Kanisa KatolikiMuundoChawaSarufiUtashiWangoniKata za Mkoa wa Dar es SalaamHistoria ya ZanzibarJamhuri ya Watu wa ChinaSteve MweusiUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaKidoleHistoria ya TanzaniaMsumbijiMashariki ya KatiOrodha ya nchi kufuatana na wakaziUundaji wa manenoSimba🡆 More