Pangani

Pangani ni jina la mto, wilaya na mji katika Tanzania.

Pangani
Mto wa Pangani karibu na mdomo

* Mto wa Pangani unabeba maji ya Milima ya Meru, Kilimanjaro, Upare na Usambara kwenda Bahari Hindi. Mdomo wake uko mjini Pangani.

* Wilaya ya Pangani ni kati ya wilaya za mkoa wa Tanga.

* Mji wa Pangani ni makao makuu wa wilaya ya Pangani iliyomo mkoa wa Tanga ufukoni mwa Bahari ya Hindi na mto wa Pangani.

* Pangani, kata ya wilaya ya Kibaha Mjini.

  • Jina la Pangani hupatikana pia katika miji mbalimbali likitaja eneo au mtaa ndani yake, kwa mfano Pangani katika Nairobi, karibu na Eastleigh. Maana ni "eneo watu walipopanga nyumba zao".
Pangani
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.


Tags:

Tanzania

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

PasakaMafuta ya wakatekumeniTanzania Breweries LimitedViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)WahayaSemantikiMnyamaDhamiraMajiYoweri Kaguta MuseveniSaida KaroliMisriOsimosisiSkeliMofimuUjasiriamaliOrodha ya MiakaNileSikukuuChuraZakaMaghaniViunganishiNominoNeemaHoma ya matumboHaitiUpendoKupatwa kwa MweziUzazi wa mpango kwa njia asiliaKunguniMkoa wa Dar es SalaamKisaweNabii EliyaNg'ombeMadiniJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoPesaMbuniChuiKalenda ya mweziMkondo wa umemeZama za MaweKonsonantiNguruweHarusiTabianchiMzabibuUbatizoDiamond PlatnumzKukiManeno sabaRaiaNgome ya YesuUkabailaAunt EzekielMkoa wa Unguja Mjini MagharibiBunge la TanzaniaTiba asilia ya homoniShengUkatiliKarne ya 18FutariKitubioWilaya za TanzaniaOrodha ya milima mirefu dunianiKifo cha YesuHekaya za AbunuwasiNyaniTafsiriBendera ya TanzaniaHadithiMbooKwaresimaUyahudiSahara🡆 More