Chemba Chemba

Chemba ni kata ya Wilaya ya Chemba katika Mkoa wa Dodoma, Tanzania, yenye postikodi namba 41801.

Chemba imekuwa makao makuu ya wilaya mpya mnamo Machi 2012.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 9,730 . Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 16,047 waishio humo.

Baadhi ya vijiji vya kata ya Chemba vyenye shule ya msingi vilikuwa Chemba yenyewe, Chambalo, Kambi ya Nyasa, Kidoka, Ombiri na Pangalua kwasasa pia kuna shule ya msingi muungano ambayo ipo ombiri.

Marejeo

Chemba Chemba  Kata za Wilaya ya Chemba - Mkoa wa Dodoma - Tanzania Chemba Chemba 

Babayu | Chandama | Chemba | Churuku | Dalai | Farkwa | Goima | Gwandi | Jangalo | Kidoka | Kimaha | Kinyamsindo | Kwamtoro | Lahoda | Lalta | Makorongo | Mondo | Mpendo | Mrijo | Msaada | Ovada | Paranga | Sanzawa | Songolo | Soya | Tumbakose


Chemba Chemba  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chemba (Chemba) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

2012KataMakao makuuMkoa wa DodomaNambaPostikodiTanzaniaWilayaWilaya ya Chemba

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Sayari ya TisaKipindupinduMilki ya OsmaniKifo cha YesuJinsiaFarasiWimboJomo KenyattaAina za manenoMkondo wa umemeLatitudoRedioZana za kilimoMichezo ya watotoRadiWanyaturuUgonjwa wa uti wa mgongoVyombo vya habariMisimu (lugha)NyegerePasakaMpira wa miguuRwandaKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniAngkor WatMuungano wa Tanganyika na ZanzibarKipajiArusha (mji)Afrika KusiniNguvuUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaUtamaduniAdolf HitlerOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaKiwakilishi nafsiKiranja MkuuBob MarleyMkoa wa RukwaMtandao wa kijamiiBunge la Umoja wa AfrikaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaKaabaKamusi ya Kiswahili - KiingerezaNetiboliThamaniViwakilishi vya idadiKatibaUkoloniSaida KaroliMbossoDodoma (mji)WamasaiJumapili ya matawiMkoa wa KageraNamba za simu TanzaniaBabeliEe Mungu Nguvu YetuKinuParisSimba S.C.Stadi za lughaPilipiliNomino za dhahaniaJokate MwegeloKitufeMwanamkeMwislamuTashihisiUundaji wa manenoMamaliaKipepeoUzalendoChuchu HansNeno🡆 More