Goima

Goima ni kata ya Wilaya ya Chemba katika Mkoa wa Dodoma, Tanzania, yenye postikodi namba 41804.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 14,985 . Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 12,261 waishio humo.

Asilimia kubwa za wakazi wa kata ya Goima ni Waburunge ingawa Warangi wameanza kuhamia kwa wingi.

Baadhi ya vijiji vya kata ya Goima vyenye shule ya msingi ni Goima yenyewe, Jenjeluse, Hamai, Igunga, Madaha, Makamaka, Mirambo na Songolo.

Marejeo

Goima  Kata za Wilaya ya Chemba - Mkoa wa Dodoma - Tanzania Goima 

Babayu | Chandama | Chemba | Churuku | Dalai | Farkwa | Goima | Gwandi | Jangalo | Kidoka | Kimaha | Kinyamsindo | Kwamtoro | Lahoda | Lalta | Makorongo | Mondo | Mpendo | Mrijo | Msaada | Ovada | Paranga | Sanzawa | Songolo | Soya | Tumbakose


Goima  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Goima kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

KataMkoa wa DodomaNambaPostikodiTanzaniaWilaya ya Chemba

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

FananiTaasisi ya Taaluma za KiswahiliBongo FlavaHistoria ya UrusiKombe la Dunia la FIFANembo ya TanzaniaUshogaWagogoPilipiliPasaka ya KiyahudiFasihiKitenziKiimboMsokoto wa watoto wachangaHerufiThabitiBabeliNg'ombeFur EliseUenezi wa KiswahiliSheriaVita Kuu ya Pili ya DuniaTimu ya Taifa ya Kandanda ya KenyaPopoTabianchiSimba S.C.Somo la UchumiFIFAMkoa wa MbeyaMishipa ya damuNdoa ya jinsia mojaMenoMtakatifu PauloMobutu Sese SekoHistoria ya KenyaTaifa StarsMfumo wa JuaAfrikaMeliMbuniNdege (mnyama)UtandawaziUmaskiniMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya JamiiMuhammadMwanaumeMkoa wa ManyaraWanyamweziKatekisimu ya Kanisa KatolikiDiniKiingerezaProtiniUpinde wa mvuaYoung Africans S.CUrusiBustani ya wanyamaShabaniUsafi wa mazingiraWembeWanyama wa nyumbaniLuis MiquissoneMkoa wa Dar es SalaamShengKunguniVatikaniOrodha ya Marais wa TanzaniaTeziVipera vya semiSimon MsuvaMtende (mti)Mbeya (mji)Bunge la TanzaniaUandishiThamaniTausiJumuiya ya Afrika MasharikiFutariLiberia🡆 More