Wilaya Ya Chemba

Chemba ni jina la wilaya mpya katika mkoa wa Dodoma, Tanzania yenye postikodi namba 41800, ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012 kwa kumega wilaya ya Kondoa.

Wilaya ya Chemba
Mahali paWilaya ya Chemba
Mahali paWilaya ya Chemba
Mahali pa Chemba mkoani Dodoma
Majiranukta: 05°14′34″S 35°53′24″E / 5.24278°S 35.89000°E / -5.24278; 35.89000
Nchi Tanzania
Mikoa Mkoa wa Dodoma
Idadi ya wakazi (2022)
 - Wakazi kwa ujumla 339,333

Jiografia

Wilaya ya Chemba inapakana na wilaya ya Kondoa upande wa kaskazini, mkoa wa Manyara upande wa mashariki, wilaya ya Chamwino na wilaya ya Bahi upande wa kusini, na mkoa wa Singida upande wa magharibi.

Makao makuu ya wilaya yako Chemba.

Wakazi

Kadiri ya sensa ya mwaka 2012, wilaya ya Chemba ilikuwa na wakazi 235,711. Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 339,333 .

Wakazi wengi wa Chemba ni wakulima na wafugaji na mazao yao ni kama vile mahindi, ulezi, alizeti, uwele, udo. Wanyama wanaofugwa ni kama vile ng'ombe, mbuzi, punda na kondoo.

Chemba ni miongoni mwa sehemu ambazo zipo nyuma sana kielimu, pia eneo hili lina shida kubwa ya maji katika vijiji vyake vyote.

Usafiri

Barabara T5 kutoka Dodoma hadi Babati inapitia wilaya hii.

Ugatuzi

Kwa sasa Wilaya ya Chemba inajumuisha tarafa za Goima, Mondo, Kwamtoro na Farkwa pamoja na kata zake 26.

Kata

Tanbihi

Wilaya Ya Chemba  Kata za Wilaya ya Chemba - Mkoa wa Dodoma - Tanzania Wilaya Ya Chemba 

Babayu | Chandama | Chemba | Churuku | Dalai | Farkwa | Goima | Gwandi | Jangalo | Kidoka | Kimaha | Kinyamsindo | Kwamtoro | Lahoda | Lalta | Makorongo | Mondo | Mpendo | Mrijo | Msaada | Ovada | Paranga | Sanzawa | Songolo | Soya | Tumbakose

Wilaya Ya Chemba  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Chemba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

Wilaya Ya Chemba JiografiaWilaya Ya Chemba WakaziWilaya Ya Chemba UsafiriWilaya Ya Chemba UgatuziWilaya Ya Chemba TanbihiWilaya Ya Chemba

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Vidonge vya majiraOrodha ya milima mirefu dunianiAbedi Amani KarumeFasihi andishiOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaAina za manenoDuniaUgonjwa wa uti wa mgongoTarakilishiNomino za dhahaniaTendo la ndoaAkiliUzazi wa mpangoMaghaniWangoniTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaJamhuri ya Watu wa ChinaNdovuNomino za kawaidaTaasisi ya Taaluma za KiswahiliLatitudoNyegereKipindupinduUsalamaWikipediaDubuBendera ya KenyaHistoria ya ZanzibarNamba za simu TanzaniaNathariHistoria ya WasanguMichezo ya watotoMfumo wa upumuajiElimuRihannaTovutiBikira MariaUchumiBenjamin MkapaTupac ShakurVirusi vya UKIMWIMisimu (lugha)HeshimaUtendi wa Fumo LiyongoTundu Antiphas Mughwai LissuOrodha ya nchi za AfrikaNduniShangaziPijiniWallah bin WallahTungo sentensiNyukiZeruzeruKoffi OlomideMarekaniKiharusiOrodha ya maziwa ya TanzaniaHurafaFutiMaadiliNomino za pekeeVita Kuu ya Kwanza ya DuniaHadithi za Mtume MuhammadKinywajiMaliasiliMajigamboMazingiraMkwawaUfahamuMsamiatiOrodha ya viwanja vya michezo TanzaniaOrodha ya Marais wa ZanzibarAmri KumiKiswahiliAthari za muda mrefu za pombe🡆 More