Uundaji Wa Maneno

Uundaji wa maneno ni ujenzi, uzalishaji au utengenezaji wa maneno mapya.

Uundaji wa maneno mapya husaidia kuongeza msamiati katika lugha ili kukidhi mahitaji ya mawasiliano.

Uundaji wa maneno mapya husababishwa na mabadiliko ya uchumi, siasa, utamaduni na maendeleo ya sayansi yanayotokea katika jamii husika.

Kwa mfano katika Kiswahili tunayo maneno mapya kama vile: uwekezaji, ukeketaji, ujasiriamali na mengine mengi kutokana na mabadiliko ya kijamii.

Njia za uundaji wa maneno

Uundaji wa msamiati hutokea kwa njia mbalimbali zifuatazo:

  • Kubadili mpangilio wa herufi.
  • Kuambatanisha maneno.
  • Kutohoa maneno ya lugha nyingine.
  • Uambishaji wa maneno.
  • Kusanifisha sauti, umbo, mlio na sura.
*Kusinyaza  

Uundaji wa maneno hubadilisha maana ya maneno asili.

Uundaji Wa Maneno  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uundaji wa maneno kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

NenoUjenziUtengenezajiUzalishaji

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Usafi wa mazingiraUturukiHoma ya mafuaMkoa wa IringaUbongoWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiJokate MwegeloUhindiSamia Suluhu HassanIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)NadhariaTarakilishiMjombaWilaya ya NyamaganaIntanetiMaliasiliUyogaUhifadhi wa fasihi simuliziTanzaniaNdege (mnyama)NigeriaMsalaba wa Yesu23 ApriliMadhehebuMnyamaOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaUfahamuItifakiIsimujamiiMkwawaWahaMwalimuChristina ShushoNikki wa PiliUmoja wa MataifaKiswahiliFalsafaViwakilishiNomino za jumlaUnyevuangaMitume na Manabii katika UislamuManispaaHarmonizeKumamoto, KumamotoChelseaUharibifu wa mazingiraEe Mungu Nguvu YetuUjimaUchawiJohn MagufuliMashineVielezi vya namnaNomino za wingiHaki za binadamuKinembe (anatomia)WaheheKito (madini)Mpira wa kikapuUlayaKilimanjaro (volkeno)MorokoSteve MweusiSemantikiChumaBendera ya ZanzibarMkoa wa KageraMnyoo-matumbo MkubwaTafsiriMimba za utotoniKinywajiUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofungana🡆 More