Innocent Lugha Bashungwa (alizaliwa 5 Mei 1979) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Amechaguliwa kuwa mbunge wa Karagwe kwa mwaka 2015 – 2020. Kwa sasa ni waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI). Oktoba 3, 2022, alichukua nafasi ya Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa la Tanzania.
Mhe. Innocent Bashungwa (Waziri) | |
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa | |
Aliingia ofisini 2022 | |
Rais | Samia Suluhu Hassan |
---|---|
Mbunge wa Karagwe | |
Aliingia ofisini 2015 | |
tarehe ya kuzaliwa | 5 Mei 1979 |
utaifa | Mtanzania |
chama | CCM |
tovuti | https://www.tamisemi.go.tz/ |
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Innocent Lugha Bashungwa, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.