Mkoa Wa Pemba Kaskazini

Mkoa wa Pemba Kaskazini ni mmojawapo kati ya mikoa 31 ya Tanzania yenye postikodi namba 75000 .

Mkoa wa Pemba Kaskazini
Mahali pa Pemba Kaskazini katika Tanzania
Mahali pa Pemba Kaskazini katika Tanzania
Mahali pa Pemba Kaskazini katika Tanzania
Majiranukta: 5°1′54.84″S 39°46′32.16″E / 5.0319000°S 39.7756000°E / -5.0319000; 39.7756000

Uko katika sehemu ya kaskazini ya Kisiwa cha Pemba ambacho ni sehemu ya Zanzibar katika Muungano wa Tanzania.

Mkoa una wakazi 272,091 kadiri ya sensa ya mwaka 2022 .

Makao makuu ya mkoa yako wilayani Wete.

Mkoa una wilaya mbili tu, Wete na Micheweni.

Tazama pia

Tanbihi


Mkoa Wa Pemba Kaskazini  Makala hii kuhusu maeneo ya Pemba bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Pemba Kaskazini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Historia ya Kanisa KatolikiRose MhandoIdi AminDiniMkoa wa ManyaraLilithNamba za simu TanzaniaRitifaaBongo FlavaMtandao wa kompyutaMwanaumeKata za Mkoa wa MorogoroMusaMkoa wa LindiDuniaMnyamaHistoria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoKupatwa kwa JuaDalufnin (kundinyota)TarafaUsanifu wa ndaniMatumizi ya lugha ya KiswahiliNusuirabuOrodha ya Marais wa ZanzibarViwakilishi vya pekeeMuundo wa inshaUchawiMzeituniVivumishi vya pekeeShikamooWanyama wa nyumbaniMasafa ya mawimbiMafurikoNomino za dhahaniaMbogaLeonard MbotelaPunyetoWahayaHistoria ya KiswahiliMbwana SamattaHoma ya mafuaBiashara ya watumwaMsitu wa AmazonMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya JamiiStashahadaMaghaniVivumishi vya sifaAfrika ya MasharikiKumaLady Jay DeeOrodha ya makabila ya TanzaniaGongolambotoZakaViwakilishi vya idadiWasukumaMatiniDemokrasiaTarakilishiUandishiUtendi wa Fumo LiyongoViwakilishiLughaVitamini CUyahudiWilaya ya NyamaganaInsha za hojaKinembe (anatomia)Kamusi za KiswahiliHistoria ya KanisaMajina ya Yesu katika Agano JipyaHistoria ya uandishi wa QuraniSaidi Salim BakhresaSteve Mweusi🡆 More