Kaskazini

Kaskazini ni moja kati ya mielekeo minne mikuu ya dira.

Mwelekeo wake ni ncha ya kaskazini ya dunia. Kinyume chake ni kusini.

Kaskazini
Alama za dira zikionyesha kaskazini katika hali ya mkoozo

Jina "kaskazini" limetokana na neno la Kiarabu "قيظ qiz" joto na "قيظ قائظ qiz qaez" hali ya hewa lenye joto sana; kutoka sehemu za Zanzibar au Uswahilini kwenda kaskazini kuelekea Somalia joto linaongezeka sana; upepo wa joto latokea huko.

Kaskazini kawaida huwa juu zaidi kwenye ramani. Kanada ipo kaskazini mwa nchi ya Marekani, Venezuela ipo kaskazini mwa nchi ya Brazil, na Urusi ipo kaskazini mwa nchi ya India. Ncha ya kaskazini ni kaskazini ya mbali unayoweza kwenda.

Tazama pia

Kaskazini  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

DiraKusiniNcha ya kaskazini

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Namba za simu TanzaniaMethaliWaziri wa Mambo ya Ndani (Tanzania)Mkoa wa ArushaMaabaraHaki za watotoMafarisayoWaluguruVielezi vya namnaMapenziUjauzitoSaa za Afrika MasharikiBendera ya TanzaniaMaajabu ya duniaKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaHoma ya mafuaOrodha ya makabila ya TanzaniaKiimboViwakilishi vya kuulizaOrodha ya Marais wa TanzaniaMsokoto wa watoto wachangaNomino za pekeeUbuntuJinaRita wa CasciaOrodha ya MakardinaliRose MhandoNomino za jumlaUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaFalsafaMahariMkoa wa PwaniTwigaVideoKiambishiKibena (Tanzania)VihisishiJamhuri ya ChinaMakabila ya IsraeliMwenge wa UhuruKonsonantiMbwana SamattaMashariki ya KatiDNAKaaMauaji ya kimbariKatibaKombe la Dunia la FIFAChotaraMazingiraVirusi vya CoronaKata za Mkoa wa Dar es SalaamJay MelodyMkoa wa MtwaraMsumbijiVipaji vya Roho MtakatifuVichekeshoTambikoAntibiotikiMapinduzi ya ZanzibarKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniMbossoBarcelona F.C.Orodha ya vitabu vya BibliaKikohoziMaudhui katika kazi ya kifasihiXXXTentacionWapareIsimuMvua ya maweSomalilandNdiziIsaPasakaSomo la Uchumi🡆 More