Mikoa Ya Italia

Mikoa ya Italia ni vitengo vikuu vya utawala chini ya ngazi ya taifa nchini.

Eneo lote la Italia limegawiwa katika mikoa 20. Kila mkoa huwa na kiwango cha madaraka cha kujiamulia, lakini mikoa 5 huwa na madaraka ya kujitawala. Madaraka hayo na kuwepo kwa kila mkoa yameandikwa katika katiba ya nchi.

Mikoa Ya Italia
Mikoa ya Italia (nyekundu: mikoa ya kujitawala)

Kila mkoa - isipokuwa ule wa Bonde la Aosta - hugawiwa katika wilaya.

Madaraka ya mikoa ya kawaida na mikoa ya kujitawala

Kikatiba kila mkoa huwa na madaraka ya kujiamulia kuhusu mambo pasipo sheria ya kitaifa na katika mambo yafuatayo:

Mikoa mitano ya kujitawala huwa na madaraka makubwa zaidi yanayotofautiana kati ya mkoa na mkoa. Sababu za haki hizo za pekee ni za kihistoria na kuwepo kwa sehemu za wananchi wenye lugha mama tofauti na Kiitalia. Mikoa hii ni Bonde la Aosta (Kiitalia-Kifaransa), Friuli-Venezia Giulia (Kiitalia-Kifurlan-Kislovenia), Sardinia (Kisardinia), Sisili na Trentino-Alto Adige/Südtirol (Kiitalia - Kijerumani).

Mikoa hii inaitwa "mikoa yenye sheria za pekee"; kwa mfano Friuli-Venezia Giulia inabaki na asilimia 60 za kodi kutoka eneo lake, Sardinia na 70%, Trentino-Alto Adige/Südtiro pamoja na Aosta zinashika 90% na Sisili inashika kodi zote chini ya mamlaka ya kimkoa.

Orodha ya mikoa

Bendera Jina Makao makuu Eneo (km2) Wakazi Msongamano wa watu/km² Wilaya Miji Miji mikubwa Hali ya utawala
Mikoa Ya Italia  Abruzzo L'Aquila 10,763 1,307,919 122 4 305 - Kawaida
Mikoa Ya Italia  Bonde la Aosta Aosta 3,263 126,933 39 0 74 - Kujitawala
Mikoa Ya Italia  Apulia Bari 19,358 4,045,949 209 6 258 Bari Kawaida
Mikoa Ya Italia  Basilicata Potenza 9,995 575,902 58 2 131 - Kawaida
Mikoa Ya Italia  Calabria Catanzaro 15,081 1,954,403 130 5 409 Reggio Calabria Kawaida
Mikoa Ya Italia  Campania Napoli 13,590 5,761,155 424 5 551 Napoli Kawaida
Emilia-Romagna Bologna 22,446 4,354,450 194 9 348 Bologna Kawaida
Friuli-Venezia Giulia Trieste 7,858 1,219,356 155 4 218 Trieste Kujitawala
Mikoa Ya Italia  Lazio Rome 17,236 5,550,459 322 5 378 Rome Kawaida
Mikoa Ya Italia  Liguria Genoa 5,422 1,565,349 289 4 235 Genoa Kawaida
Mikoa Ya Italia  Lombardia Milan 23,861 9,749,593 409 12 1544 Milan Kawaida
Mikoa Ya Italia  Marche Ancona 9,366 1,541,692 165 5 239 - Kawaida
Mikoa Ya Italia  Molise Campobasso 4,438 312,394 70 2 136 - Kawaida
Mikoa Ya Italia  Piemonte Turin 25,402 4,366,251 172 8 1206 Turin Kawaida
Mikoa Ya Italia  Sardinia Cagliari 24,090 1,637,193 68 8 377 Cagliari Kujitawala
Mikoa Ya Italia  Sisilia Palermo 25,711 4,994,817 194 9 390 Catania, Messina, Palermo Kujitawala
Mikoa Ya Italia  Trentino-Alto Adige/Südtirol Trento 13,607 1,036,707 76 2 333 - Kujitawala
Mikoa Ya Italia  Toscana Firenze 22,994 3,679,027 160 10 287 Firenze Kawaida
Mikoa Ya Italia  Umbria Perugia 8,456 885,535 105 2 92 - Kawaida
Mikoa Ya Italia  Veneto Venisi 18,399 4,865,380 264 7 581 Venisi Kawaida

Tags:

ItaliaKatibaMadarakaMkoaTaifaUtawala

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

NenoMbuga za Taifa la TanzaniaSaida KaroliUsimamizi wa MiradiVieleziPentekosteJiniSamia Suluhu HassanNabii EzekieliFerbutaKutoka (Biblia)ShahawaMisimu (lugha)Nikki wa PiliMbooTaarifaOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaHifadhi ya Mlima KilimanjaroWabena (Tanzania)Ridhiwani Jakaya KikweteKinyakyusaKatibaManaTarakimuMawasilianoYoung Africans S.CFatma KarumeMungu ibariki AfrikaWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiKiswahiliShairiUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiMwarobainiReal MadridKishazi huruUaminifuAfrika ya MasharikiHistoria ya UrusiOrodha ya vitabu vya BibliaMlongeMauaji ya kimbari ya RwandaDubaiTarehe za maisha ya YesuWakingaTumainiHoma ya matumboNgonjeraIsimujamiiSumakuMkoa wa MaraMpira wa miguuPonografiaMjombaMiujiza ya YesuSaidi NtibazonkizaDawa za mfadhaikoVielezi vya namnaDola la RomaUtandawaziDumaNadhiriUbuntuHadhiraUtawala wa Kijiji - TanzaniaRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniGraca MachelVirusi vya UKIMWIManiiPapaUenezi wa KiswahiliKitabu cha IsayaOrodha ya Marais wa KenyaUrithi wa DuniaAishi ManulaVihisishi🡆 More