Duma

Nususpishi 4:

Duma
Duma
Duma
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele)
Ngeli ya chini: Placentalia (Wanyama wenye mji)
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Feliformia (Wanyama kama paka)
Familia: Felidae (Wanyama walio na mnasaba na paka)
Nusufamilia: Felinae (Wanyama wanaofanana na paka)
Jenasi: Acinonyx
Brookes, 1828
Spishi: A. jubatus
(Schreber, 1775)
Ngazi za chini

  • A. j. hecki Hilzheimer, 1913
  • A. j. jubatus Schreber, 1775
  • A. j. soemmeringii Fitzinger, 1855
  • A. j. venaticus Griffith, 1821
Misambao ya nususpishi za duma
Misambao ya nususpishi za duma

Duma ni mnyama mbuai aliyemo katika jamii ya paka (Felinae) ambaye hupatikana Afrika na kidogo sehemu za Asia. Chakula chake ni wanyama jamii ya swala .

Kichwa chake ni kidogo zaidi ukilinganisha na wanyama wengine wa jamii yake kama chui. Duma anatofautiana na chui pia kwa sehemu ya mgongo na sehemu ya machoni: mgongo wa duma huwa kama alama ya "S", tofauti na mgongo wa chui. Macho ya duma yana weusi mkali ukilinganisha na chui.

Manyoya yake yana rangi ya manjano inayoelekea kwenye rangi ya udongo iliyopambwa na madoa meusi. Rangi ya duma inashabihiana na mazingira yake ya mawindo hutegemea zaidi mbio na kuona ukilinganisha na wanyama wengine wawindaji ambao hutegemea kunusa na kuvizia katika mawindo yao. Ndiye mnyama anayeaminika kuwa na mwendo kasi zaidi kuliko wanyama wengine watembeao kwa miguu: hukimbia kilometa 113 kwa saa.

Wanapokua, madume hutembea peke yao katika makundi ya duma watatu au wawili. Wanajamiana na majike wanapokuwa kwenye joto tu na si vinginevyo.

Picha

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MusaLeopold II wa UbelgijiMafumbo (semi)Mkoa wa ArushaKisaweMisemoMaktabaMamba (mnyama)AbrahamuSamia Suluhu HassanHistoria ya KiswahiliWazigulaOlduvai GorgeOrodha ya Watakatifu wa AfrikaNomino za pekeeMtakatifu PauloDaktariMbwa-mwitu DhahabuHadithi za Mtume MuhammadRejistaMalariaVivumishi vya -a unganifuPichaLilithNyotaMachweoPistiliTungo sentensiBaraza la mawaziri Tanganyika 1961Orodha ya milima mirefu dunianiUhifadhi wa fasihi simuliziKoloniViwakilishi vya kuulizaViwakilishi vya idadiMizimuMfumo wa nevaP. FunkMoyoNafsiAdhuhuriTwigaSanaa za maoneshoKanga (ndege)Saida KaroliElimuRitifaaNdoaPijini na krioliViwakilishi vya kumilikiAfrika ya MasharikiKibena (Tanzania)Paul MakondaEe Mungu Nguvu YetuJinsiaKata za Mkoa wa Dar es SalaamTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaMkondo wa umemeVivumishi vya idadiKilimoCherehaniMshororoIstilahiMuzikiMwanga wa JuaMaskiniKiunguliaVita ya Maji MajiPapaUharibifu wa mazingiraNigeriaNambaFasihiNdiziChuraMashariki🡆 More