Ferbuta

Ferbuta (pia: Pherbutha, Thermutha, Thermo, Derphuta, Tartufa, Tbarbo; alifariki nchini Uajemi, 342 hivi) alikuwa mwanamke mjane Mkristo aliyeuawa pamoja na mjakazi wake kwa sababu ya imani yao katika dhuluma ya mfalme Sabor II kama ilivyomtokea mwaka mmoja kabla kaka yake askofu mkuu Simeoni bar Sabas.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Aprili.

Tazama pia

Tanbihi

Ferbuta  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

342Askofu mkuuDhulumaImaniKakaMfalmeMjaneMkristoMwakaMwanamkeSimeoni bar Sabas na wenzakeUajemi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ugonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaJuvenal HabyarimanaOrodha ya viongoziKongoshoSilabiMungu ibariki AfrikaKinyongaNgano (hadithi)Orodha ya Marais wa MarekaniMwakaMofimuKilomitaKifua kikuuOrodha ya viwanja vya michezo TanzaniaGeorge WashingtonUzazi wa mpangoKikohoziWajitaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMivighaKatibu MkuuDuniaMagadi (kemikali)Maana ya maishaSaida KaroliHekimaMazingiraTungo kiraiSerikaliHafidh AmeirSteven KanumbaMchungajiVieleziBaraKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaWema SepetuMapambano kati ya Israeli na PalestinaAyra StarrMoses KulolaTiba asilia ya homoniCleopa David MsuyaKalenda ya GregoriNembo ya TanzaniaMatendo ya MitumeVivumishiKitenziUgandaKiswahiliMfumo katika sokaCherehaniOrodha ya mito nchini TanzaniaOrodha ya vitabu vya BibliaKiunguliaUbinafsiYoung Africans S.C.FutsalHistoria ya ZanzibarNeemaNgono zembeLiverpool F.C.Mkoa wa KigomaBata MzingaLongitudoMsambaPentekosteMkoa wa KilimanjaroUaminifuOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaWamanyemaAthari za muda mrefu za pombeUkimwiSemantikiLahajaXXXTentacionAmri Kumi🡆 More