Arnold Schwarzenegger

Arnold Schwarzenegger (amezaliwa tar.

30 Julai 1947 nchini Austria) ni mwigizaji wa filamu na mwanasiasa aliyekuwa gavana wa jimbo la California nchini Marekani tangu 2003 hadi Januari 2011. Arnold anaishi mjini Los Angeles, California.

Arnold Schwarzenegger
Arnold Schwarzenegger (2015).

Schwarzenegger alielekea nchi Marekani mnamo mwaka wa 1968 na kisha baadaye akawa mwigizaji wa filamu. Ameigiza filamu nyingi tu, ikiwemo ile ya The Terminator na nyingine nyingi tu. Mnamo mwaka wa 2003, pale Bw. Gray Davis alipoondoka madarakani, Schwarzenegger akashinda kiti cha kuwa Gavana wa California akarudishwa mwaka 2007.

Schwarzenegger ameoana na Bi. Maria Shriver.

Kabla ya kuwa mwigizaji, kwanza alikuwa Mnyanyua Vyuma. Kwa kigezo hicho akafanikiwa kushinda mashindano ya Mr. Universum kwa takriban mara saba.

Viungo vya nje

Arnold Schwarzenegger 
WikiMedia Commons

Tags:

194730 JulaiAustriaCaliforniaFilamuGavanaLos AngelesMarekaniMwigizaji

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Pemba (kisiwa)MnururishoOrodha ya miji ya TanzaniaWaheheKisimaVielezi vya idadiKichecheMzeituniUchawiIntanetiMkunduUtawala wa Kijiji - TanzaniaBahari ya HindiFananiUgonjwaOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaUzazi wa mpangoMaambukizi ya njia za mkojoKamusi za KiswahiliNomino za wingiNdovuMarekaniMoscowTarafaMkoa wa Dar es SalaamJamiiStephane Aziz KiKarafuuKata za Mkoa wa MorogoroMkoa wa DodomaBiolojiaVitendawiliLahajaUzalendoMchwaAla ya muzikiAgano JipyaRaiaShukuru KawambwaNominoMkoa wa NjombeHuduma ya kwanzaUkoloniKumaChumba cha Mtoano (2010)Orodha ya Makamu wa Rais TanzaniaMatumizi ya lugha ya KiswahiliWingu (mtandao)Mkoa wa MwanzaUtoaji mimbaSanaaVieleziKiambishiHali ya hewaManchester CityAlama ya barabaraniUkabailaMkoa wa LindiMkoa wa PwaniVivumishi vya kuoneshaNgono zembeRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniMimba kuharibikaMaradhi ya zinaaViwakilishi vya kuoneshaMazungumzoUturukiNg'ombe (kundinyota)MbooBidiiOrodha ya makabila ya KenyaPunyetoSitiariMziziAbrahamuKinembe (anatomia)🡆 More