Kicheche

Jenasi 4, spishi 6:

Kicheche
Kicheche-nyoka (Poecilogale albinucha)
Kicheche-nyoka (Poecilogale albinucha)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Caniformia (Wanyama kama mbwa)
Familia: Mustelidae (Wanyama walio na mnasaba na chororo)
Fischer, 1817
Nusufamilia: Mustelinae (Wanyama wanaofanana na chororo)
Fischer, 1817
Ngazi za chini

  • Galictis Bell, 1826
    • G. cuja (Molina, 1782)
    • G. vittata (Schreber, 1776)
  • Ictonyx Kaup, 1835
    • I. libycus (Hemprich & Ehrenberg, 1833)
    • I. striatus (Perry, 1810)
  • Poecilogale Thomas, 1883
    • P. albinucha (Gray, 1864)
  • Vormela Blasius, 1884
    • Vormela peregusna (Güldenstädt, 1770)

Vicheche au cheche ni wanyama wa jenasi mbalimbali katika familia Mustelidae. Wanyama hawa ni miongoni mwa wale wanaotoa vundo mbaya kabisa. Wataalamu wengine wanadai kwamba kicheche wa kawaida ananuka vibaya kuliko wanyama wote. Vundo hii inatoka matezi karibu na mkundu kama mnyama akitishwa, na kwa kawaida adui atoroka. Spishi zote zina pua, kidari, tumbo na miguu nyeusi. Zile za Afrika zina milia myeupe na myeusi mgongoni, zile za Amerika zina mgongo kijivu na ile ya Ulaya ina mgongo njano wenye madoa meusi. Vicheche hula wanyama wadogo, ndege na mijusi, wadudu, samaki, amfibia, nyoka na hata matunda na manyasi.

Spishi za Afrika

Spishi za mabara mengine

Picha

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

SentensiKiimboMkoa wa DodomaUzazi wa mpango kwa njia asiliaInjili ya MarkoUgonjwa wa kuharaMazingiraUyahudiTenzi tatu za kaleUbadilishaji msimboDodoma (mji)Vita Kuu ya Kwanza ya DuniaMkoa wa ArushaAlama ya barabaraniKinyongaUmoja wa MataifaViwakilishi vya urejeshiMsamiatiKigoma-UjijiNguzo tano za UislamuSikukuu za KenyaUhifadhi wa fasihi simuliziVielezi vya mahaliNguruweChristopher MtikilaBarua pepePombeUpinde wa mvuaHisiaMkopo (fedha)HaitiMpira wa miguuLughaMwakaMkoa wa ManyaraSerikaliUkabailaIfakaraMapambano kati ya Israeli na PalestinaAfrika Mashariki 1800-1845PasifikiUkooLatitudoLahaja za KiswahiliArsenal FCPunyetoMatumizi ya lugha ya KiswahiliLugha ya taifaDubai (mji)Liverpool F.C.YouTubeChama cha MapinduziAfrika ya Mashariki ya KijerumaniVisakaleLongitudoUlayaOrodha ya makabila ya KenyaKumaMilanoMwanzo (Biblia)Bahari ya HindiMajeshi ya Ulinzi ya KenyaUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiMvua ya maweMlongeBunge la TanzaniaVivumishi vya sifaVivumishi vya idadiShikamooSanaa za maoneshoTreniKenyaUtumbo mwembambaMtandao wa kijamii🡆 More