California: Jimbo la Marekani

California (pia: Kalifornia) ni jimbo la Marekani upande wa magharibi-kusini ya nchi. Iko kwenye pwani ya Pasifiki ikipakana na Meksiko (Baja California).

California
California: Jimbo la Marekani
Bendera
California: Jimbo la Marekani
Nembo
Nchi Bendera ya Marekani Marekani
Mji mkuu Sacramento
Eneo
 - Jumla 423,970 km²
 - Kavu 403,933 km² 
 - Maji 20,037 km² 
Tovuti:  http://www.ca.gov/

Wakazi wamekadiriwa kuwa 39,512,223 mwaka 2019.

California ni kati ya majimbo ya Marekani yenye uwezo mkubwa wa kiuchumi. Kama California ingekuwa nchi huru ya kujitegemea uchumi wake ungekuwa na nafasi ya 8 duniani. Utalii, kilimo na viwanda vya ndege huajiri watu wengi. Kampuni za kompyuta zimestawi vizuri sana California, kwa mfano Microsoft. Los Angeles, hasa eneo la Hollywood, ni kitovu cha kupiga picha za filamu.

Mji mkuu ni Sacramento. Kuna miji 59 yenye wakazi zaidi ya lakhi moja:

Mji Wakazi
1 Los Angeles 3.957.875
2 San Diego 1.305.736
3 San Jose 944.857
4 San Francisco 799.263
5 Fresno 500,017
6 Long Beach 491.564
7 Sacramento 452.959
8 Oakland 412.318
9 Santa Ana 351.697
10 Anaheim 345.317
California: Jimbo la Marekani
Hifadhi ya Redwood
California: Jimbo la Marekani
Mlima Shasta
California: Jimbo la Marekani
California: Jimbo la Marekani
California: Jimbo la Marekani
Yosemite National Park
California: Jimbo la Marekani

Viungo vya nje

California: Jimbo la Marekani 
Wiki Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

California: Jimbo la Marekani  Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu California kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Fasihi ya KiafrikaPamboJinsiaKukuJamhuri ya Watu wa ChinaMisemoMtoni (Temeke)ArudhiFasihiVivumishi vya kuoneshaMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaUhalifu wa kimtandaoWachaggaVirusi vya UKIMWIMachweoWaluoMungu ibariki AfrikaUmaskiniMshororoAzam F.C.Kiambishi tamatiTambikoMwandishiKhadija KopaMunguWanyamaporiNafsiJumuiya ya MadolaDolar ya MarekaniJoseph Sinde WariobaUandishi wa ripotiMagonjwa ya machoHistoria ya AfrikaKidole cha kati cha kandoTenziMnara wa BabeliMnyoo-matumbo MkubwaWakingaIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Rita wa CasciaMatendo ya MitumeJohn Raphael BoccoMajeshi ya Ulinzi ya KenyaSayariFranco Luambo MakiadiMuundoYordaniJinaSokwe (Hominidae)Somo la UchumiBabeliMasafa ya mawimbiKombe la Mataifa ya AfrikaUkoloniDhamiraVieleziVivumishiAmri KumiMfumo wa homoniWangoniSheriaMafua ya kawaidaJeshiLongitudoEthiopiaShetaniUhuru wa TanganyikaVivumishi vya kumilikiBendera ya TanzaniaMishipa ya damuVita Kuu ya Kwanza ya DuniaKisiwaOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaDivai🡆 More