North Carolina

North Carolina (Karolina ya Kaskazini) ni jimbo la kujitawala la Marekani kwenye mwambao wa Atlantiki.

Mji mkuu ni Raleigh na mji mkubwa ni Charlotte.

North Carolina
Sehemu ya Jimbo la North Carolina








North Carolina
North Carolina
Bendera
North Carolina
Nembo
Nchi Bendera ya Marekani Marekani
Mji mkuu Raleigh
Eneo
 - Jumla 139,389 km²
 - Kavu 126,161 km² 
 - Maji 13,229 km² 
Tovuti:  http://www.nc.gov/

North Carolina ilikuwa kati ya majimbo 13 yaliyoasi dhidi ya Uingereza mwaka 1776 na kuunda Maungano ya Madola ya Amerika tangu 1789.

Imepakana na South Carolina, Georgia, Tennessee, Virginia na Bahari ya Atlantiki.

Jina limetokana na koloni ya Uingereza lililotolewa jina kwa heshima ya mfalme Charles II wa Uingereza. Kwa Kilatini "Charles ni "Carolus" au Karolo).

North Carolina
Wiki Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

North Carolina Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu North Carolina kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AtlantikiCharlotte (North Carolina)MarekaniRaleigh (North Carolina)

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

NguruweKrismaHistoria ya AfrikaUzazi wa mpango kwa njia asiliaAlomofuKombe la Mataifa ya AfrikaHektariViwakilishi vya pekeeMafuta ya wakatekumeniDhambiUpendoItaliaHoma ya mafuaInstagramKitubioKonsonantiUfugaji wa kukuMtiShambaUoto wa Asili (Tanzania)JinsiaTwigaMamaShairiAmri KumiVitenzi vishirikishi vikamilifuKipindi cha PasakaMwanzoWaanglikanaBunge la Afrika MasharikiMuhammadUchekiPalestinaItikadiUrusiMamba (mnyama)Msalaba wa YesuKukiUfaransaTenziTanzaniaMbeguWameru (Tanzania)MsukuleHistoria ya IsraelUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMwakaKichochoAlhamisi kuuKalenda ya KiislamuMoyoMshororoHali maadaMkataba wa Helgoland-ZanzibarChuiTabainiRushwaMapigo yasiyo ya kawaida ya moyoRayvannyOrodha ya vyama vya kisiasa nchini KenyaMapenziAfrika ya Mashariki ya KijerumaniNyangumiBungeNdegeNdiziKendrick LamarNgiriKaramu ya mwishoWiki CommonsDodoma (mji)Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi🡆 More