New Hampshire

New Hampshire (Hampshire Mpya) ni jimbo la Marekani upande wa mashariki-kaskazini ya nchi.

Iko kwenye pwani ya Atlantiki.

New Hampshire
Sehemu ya Jimbo la New Hampshire








New Hampshire
New Hampshire
Bendera
New Hampshire
Nembo
Nchi Bendera ya Marekani Marekani
Mji mkuu Concord
Eneo
 - Jumla 24,216 km²
 - Kavu 23,227 km² 
 - Maji 989 km² 
Tovuti:  http://www.nh.gov/

Mji mkuu ni Concord na Manchester ni mji mkubwa.

Ilikuwa moja ya koloni 13 asilia za Uingereza zilizoasi dhidi ya nchi mama tangu mwaka 1776 na kuanzisha Maungano ya Madola ya Amerika.

Imepakana na Kanada, Maine, Massachusetts na Vermont.

Jimbo lina wakazi wapatao 1,315,809 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 24,217.

Kiingereza ni lugha rasmi.

New Hampshire

Viungo vya Nje

New Hampshire 
Wiki Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

New Hampshire  Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu New Hampshire kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AtlantikiMarekani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Muda sanifu wa duniaMajigamboKiunguliaKanisa KatolikiMitume wa YesuMandhariWakingaMahindiAgostino wa HippoVisakaleMariooNomino za kawaidaUlumbiSayansiMahakama ya TanzaniaUtumbo mwembambaNdoa katika UislamuAmri KumiNahauLigi Kuu Tanzania BaraMkoa wa SingidaMisimu (lugha)Usafi wa mazingiraWahayaJinaUpendoBahashaOrodha ya wanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMwakaKamusi za KiswahiliEdward SokoineChuo Kikuu cha Dar es SalaamMbuniHifadhi ya mazingiraDoto Mashaka BitekoDivaiUbongoWapareWagogoBloguKinyongaMadhara ya kuvuta sigaraNgeliCristiano RonaldoVivumishi vya pekeeAli KibaMaghaniUandishi wa barua ya simuMavaziRuge MutahabaAlomofuAla ya muzikiOrodha ya kampuni za TanzaniaVitendawiliMwanamkeUnyevuangaOrodha ya majimbo ya MarekaniUzazi wa mpango kwa njia asiliaPombeUtumbo mpanaBongo FlavaHistoria ya ZanzibarSimu za mikononiNominoMkoa wa KataviHadithiStephane Aziz KiNdoaTovutiKiimboKichochoUzazi wa mpangoPambo🡆 More