Missouri

Missouri ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu ni Jefferson City na Kansas City ni mji mkubwa. Imepakana na Iowa, Illinois, Kentucky, Tennessee, Arkansas, Oklahoma, Kansas na Nebraska. Jimbo lina wakazi wapatao 5,911,605 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 180,533.

Missouri
Missouri
Bendera
Missouri
Nembo
Nchi Bendera ya Marekani Marekani
Mji mkuu Jefferson City
Eneo
 - Jumla 180,533 km²
 - Kavu 178,414 km² 
 - Maji 2,120 km² 
Tovuti:  http://www.missouri.gov/

Upande wa mashariki kuna wa Mto Mississippi. Mto Missouri inaendelea kupita jimbo ya Missouri.

Kiingereza ni lugha rasmi.

Miji muhimu baada ya Kansas City ni Saint Louis, Columbia na Springfield.

Missouri

Viungo vya Nje

Missouri 
Wiki Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Missouri  Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Missouri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

FasihiKumaMatiniAlfabetiWingu (mtandao)Kanga (ndege)VitendawiliKomaKifua kikuuAntibiotikiSimba S.C.Mkoa wa MbeyaYanga PrincessPaul MakondaYesuTetekuwangaKongoshoSikioHistoria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoP. FunkPamboNimoniaOrodha ya Marais wa MarekaniHistoria ya uandishi wa QuraniNusuirabuUbadilishaji msimboWachaggaWaluguruAlama ya barabaraniWashambaaRisalaBawasiriNenoMungu ibariki AfrikaMbeyaViunganishiKisimaMkuu wa wilayaMaajabu ya duniaNabii EliyaOrodha ya majimbo ya MarekaniInjili ya MarkoTenzi tatu za kaleTawahudiHuduma ya kwanzaUandishiKutoa taka za mwiliMwanzo (Biblia)Muda sanifu wa duniaMeta PlatformsKunguruRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniMartin LutherWanyakyusaShinikizo la juu la damuMaadiliUajemiKukuArusha (mji)Tendo la ndoaSiasaNyukiMziziTafsiriUkimwiMkoa wa Kilimanjaro🡆 More