Mto Mississippi

Mto Mississippi ndio mto mkubwa wa Marekani ni pia kati ya mito mirefu zaidi duniani kote.

Mto Mississippi
Mto Mississippi karibu mdomoni huko New Orleans
Chanzo Ziwa Itasca, Minnesota - Marekani kwa 47°15'N 95°12'W
Mdomo Ghuba ya Meksiko - Atlantiki
Nchi USA
Urefu 3,780 km
Kimo cha chanzo 450 m
Mkondo 18,000 m³/s
Eneo la beseni 3,238,000 km²
Miji mikubwa kando lake Minneapolis, St. Paul, St. Louis, Memphis, Tennessee, Baton Rouge, LA, New Orleans
Mto Mississippi
Beseni la Mississippi.
Mto Mississippi
Mwanzo wa Mto Mississippi (2004)
Mto Mississippi
St. Anthony Falls
Mto Mississippi

Chanzo chake kipo kaskazini mwa Marekani kwenye ziwa Itasca katika jimbo la Minnesota. Inapita majimbo ya Minnesota, Wisconsin, Iowa, Illinois, Missouri, Kentucky, Tennessee, Arkansas, Mississippi, Louisiana na kuishia katika ghuba ya Meksiko karibu na mji wa New Orleans.

Matawimto muhimu

Beseni la Mississippi ni sehemu kubwa ya eneo la Marekani. Matawimto muhimu ni:

Mto Mississippi  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

DunianiMarekaniMto

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ukristo barani AfrikaFalsafaMperaNdege (mnyama)Agano la KaleYesuMobutu Sese SekoAbedi Amani KarumeKanga (ndege)Bahari ya HindiVichekeshoUtumbo mpanaSensaKitenziNdiziLiverpool F.C.Daudi (Biblia)Wabunge wa Tanzania 2020Kiambishi tamatiInsha ya wasifuSitiariNandyMahakama ya TanzaniaViunganishiMuungano wa Tanganyika na ZanzibarSaidi NtibazonkizaSimba (kundinyota)Orodha ya Watakatifu WakristoHektariMkutano wa Berlin wa 1885ManispaaKisukuruPapa (samaki)Majeshi ya Ulinzi ya KenyaUpinde wa mvuaJinsiaRamaniKishazi huruNyaniMajina ya Yesu katika Agano JipyaPemba (kisiwa)Ugonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMsituNafsiMofimuSilabiMvuaKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniMohamed HusseinHifadhi ya SerengetiWahayaUturukiSaida KaroliUfugajiUkristoTupac ShakurMkoa wa RuvumaVidonda vya tumboNdoa katika UislamuUkwapi na utaoLongitudoBendera ya KenyaFigoMisemoOrodha ya majimbo ya MarekaniSoko la watumwaOrodha ya Marais wa KenyaMuhammadHali ya hewaHistoria ya uandishi wa QuraniMfumo katika soka🡆 More