Illinois

Illinois ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani.

Ilikuwa jimbo la Marekani tangu 1818. Iko katika magharibi ya kati ya nchi ikipakana na majimbo ya Wisconsin, Iowa Missouri, Kentucky na Indiana. Upande wa kaskazini - mashariki imepakana na Ziwa Michigan.

Illinois
Sehemu ya Jimbo la Illinois








Illinois
Land of Lincoln
Illinois
Bendera
Illinois
Nembo
Nchi Bendera ya Marekani Marekani
Mji mkuu Springfield
Eneo
 - Jumla 149,998 km²
 - Kavu 143,961 km² 
 - Maji 6,037 km² 
Tovuti:  http://www.illinois.gov/
Illinois
Ramani ya Illinois

Eneo la jimbo ni 140,998 km² likiwa na wakazi 12,831,970 hivyo kuna msongamano wa watu 86.27/km². Idadi kubwa hukaa katika rundiko la jiji la Chicago penye wakazi milioni 9.

Mji mkuu ni Springfield lakini mji mkubwa ni Chicago. Kwa miji mingine angalia Orodha ya miji ya Illinois.

Watu kutoka Illinois

Illinois 
Wiki Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Illinois  Makala hii kuhusu maeneo ya Illinois bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Illinois kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

1818IndianaIowaKentuckyMarekaniMissouriWisconsinZiwa Michigan

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Hafidh AmeirSimba (kundinyota)DamuChristina ShushoMnyamaMahakamaKamusiHifadhi ya mazingiraBurundiUmememajiTafakuriKabilaKiongoziVita ya Maji MajiBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiFasihiHisiaUmoja wa AfrikaWilaya ya UbungoMkoa wa MorogoroKinyongaMagonjwa ya kukuJokofuNyati wa AfrikaWilaya ya KinondoniTanganyika African National UnionNgw'anamalundiOrodha ya milima mirefu dunianiTungo sentensiVivumishi vya urejeshiTambikoMahakama ya TanzaniaMtakatifu PauloUtandawaziWapareIkwetaNominoDhamiraUpinde wa mvuaIsraeli ya KaleFonolojiaMkoa wa MbeyaKilimanjaro (volkeno)RupiaMsitu wa AmazonMnara wa BabeliTawahudiNenoWasukumaUzazi wa mpangoPichaKisaweMajiTetekuwangaTarakilishiNguruwe-kayaJamhuri ya Watu wa ChinaAfrika KusiniKiimboTashihisiInsha ya wasifuHistoria ya WapareMunguKitenzi kikuu kisaidiziHadithiVieleziWahayaBungeKinembe (anatomia)BiolojiaJamiiMtandao wa kompyutaKanisa Katoliki🡆 More