Tennessee

Tennessee ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani.

Imepakana na Kentucky, Virginia, North Carolina (Carolina Kaskazi), Georgia, Alabama, Mississippi, Arkansas na Missouri. Mipaka asilia ni Mto Mississippi upande wa maghaibi. Mji mkuu ni Nashville na mji mukubwa ni Memphis. Jimbo lina wakazi wapatao 6,214,888 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 109,247.

Tennessee
Sehemu ya Jimbo la Tennessee








Tennessee
Tennessee
Bendera
Tennessee
Nembo
Nchi Bendera ya Marekani Marekani
Mji mkuu Nashville
Eneo
 - Jumla 109,151 km²
 - Kavu 109,752 km² 
 - Maji 2,399 km² 
Tovuti:  http://www.tennessee.gov/

Gavana ya jimbo ni Phil Bredesen.

Tennessee

Viungo vya Nje

Tennessee 
Wiki Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Tennessee  Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tennessee kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AlabamaArkansasGeorgiaJimboKentuckyMarekaniMemphisMississippiMississippi (mto)MissouriNashvilleNorth CarolinaVirginia

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

FasihiTarakilishiSah'lomonMamaPamboStashahadaDiglosiaLigi Kuu Tanzania BaraMnururishoMatiniMfumo wa upumuajiMwanamkeUharibifu wa mazingiraAli KibaDalufnin (kundinyota)ManispaaMbooJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoKoloniGoba (Ubungo)TetekuwangaLiverpool F.C.Somo la UchumiJoseph ButikuAthari za muda mrefu za pombeTendo la ndoaVivumishi vya pekeeMchwaKiarabuMaajabu ya duniaMbaraka MwinsheheAgano JipyaMwanza (mji)Wingu (mtandao)Hifadhi ya mazingiraMavaziVielezi vya mahaliSiafuUpendoUturukiShinikizo la juu la damuKaaMtakatifu PauloUundaji wa manenoTanganyika African National UnionLahajaInstagramMzabibuEl NinyoJinsiaHistoriaShahawaKunguruIdi AminDawatiNyotaPapaMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya JamiiVitenzi vishiriki vipungufuMkoa wa SingidaAUlimwenguVita Kuu ya Pili ya DuniaMeta PlatformsPesaSaidi Salim BakhresaVidonda vya tumboNambaSarufiSayansiMlima wa MezaJohn Magufuli🡆 More