Thomas Lannier “Tennessee” Williams III (26 Machi 1911 – 25 Februari 1983) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani.
Alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya mara mbili: 1948 kwa tamthiliya yake A Streetcar Named Desire, na 1983 kwa Cat on a Hot Tin Roof.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tennessee Williams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Tennessee Williams, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.