Massachusetts

Massachusetts ni jimbo (commonwealth) la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu na mji mkubwa wa jimbo ni Boston. Kwa miji mingine, angalia orodha ya miji. Idadi ya wakazi wa jimbo lote hufikia watu 6,497,967 (2007) wanaokalia eneo la 27,336 km² ambalo ni hasa milima na jangwa. Imepakana na Vermont, New Hampshire, Rhode Island, Connecticut, na New York. Upande wa mashariki maji ya Atlantiki.

Massachusetts
Bay State
Massachusetts
Bendera
Massachusetts
Nembo
Nchi Bendera ya Marekani Marekani
Mji mkuu Boston
Eneo
 - Jumla 27,336 km²
 - Kavu 20,306 km² 
 - Maji 7,031 km² 
Tovuti:  http://www.mass.gov/
Massachusetts
Picha za miji ndani ya jimbo la Massachusetts

Ilikuwa moja ya koloni 13 asilia za Uingereza zilizoasi dhidi ya nchi mama tangu mwaka 1776 na kuanzisha Maungano ya Madola ya Amerika.

Massachusetts

Viungo vya Nje

Commonwealth of Massachusetts Official Website

Massachusetts 
Wiki Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Massachusetts  Makala hii kuhusu maeneo ya Massachusetts bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Massachusetts kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

HadithiKisimaFisiJamiiUandishi wa barua ya simuMnyamaLiverpool F.C.Baraza la mawaziri TanzaniaHaki za watotoJoyce Lazaro NdalichakoOrodha ya Marais wa UgandaMaandishiUtalii nchini KenyaMariooUgandaAina za manenoMzeituniUlimwenguRupiaKinembe (anatomia)BikiraJulius NyerereHektariHomoniBaraPapa (samaki)Matumizi ya LughaUgonjwa wa uti wa mgongovvjndMalariaVidonda vya tumboMachweoAfrika Mashariki 1800-1845Nomino za wingiNg'ombeShukuru KawambwaWanyaturuKiolwa cha anganiRayvannyMbeyaMnara wa BabeliKukiWilaya ya UbungoMagonjwa ya kukuHistoria ya WasanguUbadilishaji msimboUshairiHaitiMarie AntoinetteRitifaaMuundoWamasaiMartin LutherHafidh AmeirMkoa wa ArushaMiundombinuVita Kuu ya Pili ya DuniaRamaniUtawala wa Kijiji - TanzaniaMartha MwaipajaYoung Africans S.C.Usawa (hisabati)Muda sanifu wa duniaMmeaUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiBinadamuUnyevuangaHisia🡆 More