Boston, Massachusetts: Mji mkuu wa Jimbo la Massachusetts, Marekani

Boston ndiyo mji mkuu katika jimbo la Massachusetts.

Mji una wakazi wapatao 7,514,759 na hiyo ni kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2007.

Boston, Massachusetts: Mji mkuu wa Jimbo la Massachusetts, Marekani
Mji wa Boston, Massachusetts






Boston
Boston, Massachusetts: Mji mkuu wa Jimbo la Massachusetts, Marekani
Bendera
Boston is located in Marekani
Boston
Boston

Mahali pa mji wa Boston katika Marekani

Majiranukta: 42°19′18″N 71°5′21″W / 42.32167°N 71.08917°W / 42.32167; -71.08917
Nchi Marekani
Jimbo Massachusetts
Wilaya Suffolk
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 608,352
Tovuti:  www.cityofboston.gov
Boston, Massachusetts: Mji mkuu wa Jimbo la Massachusetts, Marekani
Ramani ya Boston

Mji uko futi 141 juu ya usawa wa bahari.

Historia

Mji ulianzishwa tarehe 17 Septemba katika mwaka wa 1630.

Boston iliundwa na walowezi Waprotestanti kutoka Uingereza waliotafuta uhuru wa kidini. Walichagua rasi ndogo kwenye pwani ya hori ya Massachusetts.

Mji ukakua kuwa mji mkubwa katika makoloni ya Uingereza katika Amerika ya Kaskazini.

Katika karne ya 18 Boston ulikuwa kitovu cha upinzani wa walowezi dhidi ya kodi mpya za Uingereza na vita ya uhuru wa Marekani ilianza hapa mjini na katika vijiji karibu nao.

Tazama pia

  • Chuo Kikuu cha Boston

Viungo vya Nje


Miji mikuu ya majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Boston, Massachusetts: Mji mkuu wa Jimbo la Massachusetts, Marekani  Makala hii kuhusu maeneo ya Massachusetts bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Boston, Massachusetts kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

BostonJimboMassachusettsMjiMji mkuuMwakaSensa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Virusi vya CoronaRufiji (mto)Vivumishi vya pekeeMadiniDodoma (mji)Orodha ya Marais wa UgandaSah'lomonUNICEFBarua pepeChumba cha Mtoano (2010)Historia ya ZanzibarWayahudiKutoka (Biblia)Hali ya hewaIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Mfumo wa upumuajiDaktariLiverpoolKiboko (mnyama)ShengKanda Bongo ManUfahamuHaitiKiongoziStashahadaAmri KumiVichekeshoMlongeBiasharaUtumwaNandyMbadili jinsiaWanyaturuSoko la watumwaKilimoDhamiraVihisishiKisimaDuniaWilaya ya NyamaganaDini asilia za KiafrikaMkuu wa wilayaAli Hassan MwinyiMfumo wa mzunguko wa damuKiraiVielezi vya mahaliUkristoMwamba (jiolojia)Mpira wa mkonoSteve MweusiMaghaniMkoa wa Unguja Mjini MagharibiAmina ChifupaMwakaUzazi wa mpango kwa njia asiliaMillard AyoC++SimuWaziriFisiKonsonantiNileMajeshi ya Ulinzi ya KenyaUpepoAgano la KaleBendera ya TanzaniaOrodha ya Marais wa TanzaniaKilimanjaro (volkeno)Aina za manenoRedioOrodha ya nchi kufuatana na wakaziHektariKinyongaJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoUkristo barani Afrika🡆 More