Little Rock ni jina la mji mkuu wa jimbo la Arkansas.
Huu ndiyo mji mkubwa kabisa katika jimbo hili. Takriban watu 85,561 wanaishi mjini hapa (sensa 2008). Mji upo m 102 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 302.5 km².
Little Rock, Arkansas | |||
| |||
Mahali pa mji wa Little Rock katika Marekani | |||
Majiranukta: 34°44′10″N 92°19′52″W / 34.73611°N 92.33111°W | |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Arkansas | ||
Kitongoji | Pulaski | ||
Idadi ya wakazi (2006) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 204,370 | ||
Tovuti: www.LittleRock.org |
Miji mikuu ya majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Little Rock, Arkansas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Little Rock, Arkansas, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.